Kukoroma Dawa yake nini? Nafikiria kumuacha mchumba wangu sababu hii

Mie mwenyewe nikinenepa huwa nakoroma mbaya basi usiku kucha unaamshwa ulale vizuri. 😅😅 Kumbe wala sio ulalaji ni mwili tu mkubwa.
 
Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.
Huyo 9, 10 uwe na ndoa halafu anajamba
 
Kuna watu wanakula vibaya Kama nguruwe lkn wanawake wanawavumilia.
Kuna wanawake wana Jamba usiku lakini wanavumiliwa. Kukoroma tu ndio uache mke?
Wako huyo komaa nae.
Ila hiyo ni shughuli ya masaa 10 unavumilia, si sawa na tendo la kula au kujamba yasiyotumia muda mrefu.
 
Mie mwenyewe nikinenepa huwa nakoroma mbaya basi usiku kucha unaamshwa ulale vizuri. 😅😅 Kumbe wala sio ulalaji ni mwili tu mkubwa.
Ok. Kumbe hiyo ni sababu kubwa? Kuna dawa ya kupunguza mwili angalau kidogo. Unajua inakera sana mtu kukoroma. Mimi binafsi siwezi kulala kama mtu anakoroma. Siwezi kabisa.
 
Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.

Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.

Sometime naweza msemesha akajibu ila sekunde 30 nyingi anarudia kukoroma. Naombeni mnisaidie kama kuna dawa ya tatizo hili. Sababu otherwise naona itakuwa ngumu mimi kuwa nalala naye.

Maana kiukweli huwa nikishtuka nikakuta anakoroma ndo silali tena. Nakwazika, nakereka mpaka mwisho. Siwezi pata usingizi kabisa.

Je, nifanyeje? Of course ana mwili. sijui kama ni kigezo kuwa ni unene....but mbona nmesha date sana wenye maumbo namba 8 na hawakoromi? Why yeye?
huyo mdada bila shaka ni bonge nyanya. ni kawaida kwa mabonge nyanya kukoroma.
 
Imagine masaa 8-10 sehemu ambayo ulipaswa upumzike now huwezi pumzik
Watu wanakuongelea mbovu sababu umefikisha ujumbe kwa uhalisia.yaani unavyowaza kichwani.
Labda walitaka useme natafuta tiba ya mtu anaekoroma na sio kumuacha.
Jamani kila mtu ana kipimo chake kwenye mambo ya kuvumiliana.
Yanini uingie commitment kubwa kama ndoa ikiwa unaona huu mtu siwezi vimilia vitu flani flani kutoka kwake.?
Mimi wala sikushangai...mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi yake...kulingana na anavyojiona.
Kuna watu hata mwanamke asiejua kupika hamtaki. Wakati zipo alternatives kibao kama kuajiri mpishi..
Usijifunge ikiwa unaona huwezi..anaeweza avumilie..kwanini kuwe na line flani kwa watu..
Wengine wanavumilia wanaokoroma na wengine hawawezi...ndo maisha yalivyo.

TURUDI KWENYE MADA
Hivi watu wanaelewa pilika za maisha usilale usiku na asubuhi 11 watakiwa kuamka??
Unaweza wehuka aisee
Binafsi mimi mtu akinishtua usiku hata mara moja siwez lala tena ndo ije iwe usiku kucha.
Aisee mtoa mada wewe ndo unatakiwa uangalie unaweza kumudu au unashindwa.
Ushauri wangu TAFUTA dawa pamoja nae na pia kaa nae umwambie hali halisi ili kwa pamoja mtafute dawa.
Uwezi anza mwambia mtu toa ulimi nje kama mazoezi ya kukata kukoroma ikiwa hamjakubaliana.
La mwisho hayo mambo ya kulazimisha kuvumiliana ndo yanaleta majanga kwa ndoa..
Kila mtu apime anachoweza
 
Wadada wa aina yako duniani mmebaki wachache sana. Yaani ni wa kuwatafuta sana. Very smart upstairs. Huu uelewa ulio nao miaka hii si wanaume si wanawake hawana.unawaona tu wanavyobwabwaja kujibu kama vile wamekurupuka usingizini ndo kipimo chao cha kufikiri.

Mwaka flani tulienda sehemu flani kupiga kambi porini. Kukawa na jamaa hawezi kulala sababu ya sautu za chura. Jamaa alikuwa kabisa usiku halali anasema zinamkera sana. So ikawa asubuhi anaamka amechoka...kazi anashindwa fanya anasinzia.

Kulikuwa na prof mmoja mzungu alikuwa very concerned na jamaa... Maana jamaa alianza baadaye kuwa kama ana mawenge. Yule prof akasema shida jamaa hapumziki akili na mwili vinachoka. Akawa anamwambia asubuhi alale mpaka akijisikia uchovu umeisha.

Just imagine chura tu.mimi mtu akikoroma au kutoa mlio wowote usiku.... Siwezi lala. Nakereka sana. Ila music naweza sikiliza na nikalala vizuri tu bila shida.but si kukoroma. Kiukweli nakwazika. Imagine inafika wakati wa kulala naanza hisi mateso. Najaribu kumlaza namna tofaut tofaut...haisaidii....anakoroma mpaka mtu wa nje anasikia.usiku kucha.ni ngumu kwangu napata shida.

Mie niliishi na kumpenda sana binti alikua naakoroma, alikua anajamba sana, alikua na maradhi maradhi. Sikuwahi kufikiria kumuacha. Nimekuja kumuacha kwa kuwa mchoyo wa mchezo basi!
Na ilikua pini hasa.
Na itakuwa maradhi maradhi aliyokuwa nayo yalikuwa yanamtoa kwenye line ya hisia....mtu uwezi ugua ugua ukawa sawa ki psychology utakuwa tu ulimuonea
 
Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.

Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.

Sometime naweza msemesha akajibu ila sekunde 30 nyingi anarudia kukoroma. Naombeni mnisaidie kama kuna dawa ya tatizo hili. Sababu otherwise naona itakuwa ngumu mimi kuwa nalala naye.

Maana kiukweli huwa nikishtuka nikakuta anakoroma ndo silali tena. Nakwazika, nakereka mpaka mwisho. Siwezi pata usingizi kabisa.

Je, nifanyeje? Of course ana mwili. sijui kama ni kigezo kuwa ni unene....but mbona nmesha date sana wenye maumbo namba 8 na hawakoromi? Why yeye?

Kunywa safari na konyagi mkuu
 
Wadada wa aina yako duniani mmebaki wachache sana. Yaani ni wa kuwatafuta sana. Very smart upstairs. Huu uelewa ulio nao miaka hii si wanaume si wanawake hawana.unawaona tu wanavyobwabwaja kujibu kama vile wamekurupuka usingizini ndo kipimo chao cha kufikiri.

Mwaka flani tulienda sehemu flani kupiga kambi porini. Kukawa na jamaa hawezi kulala sababu ya sautu za chura. Jamaa alikuwa kabisa usiku halali anasema zinamkera sana. So ikawa asubuhi anaamka amechoka...kazi anashindwa fanya anasinzia.

Kulikuwa na prof mmoja mzungu alikuwa very concerned na jamaa... Maana jamaa alianza baadaye kuwa kama ana mawenge. Yule prof akasema shida jamaa hapumziki akili na mwili vinachoka. Akawa anamwambia asubuhi alale mpaka akijisikia uchovu umeisha.

Just imagine chura tu.mimi mtu akikoroma au kutoa mlio wowote usiku.... Siwezi lala. Nakereka sana. Ila music naweza sikiliza na nikalala vizuri tu bila shida.but si kukoroma. Kiukweli nakwazika. Imagine inafika wakati wa kulala naanza hisi mateso. Najaribu kumlaza namna tofaut tofaut...haisaidii....anakoroma mpaka mtu wa nje anasikia.usiku kucha.ni ngumu kwangu napata shida.
Ila sauti ya kukoroma ni changamoto kwa ambao wana usingizi wa kutafuta jamani....sema moyo nao ukishapenda ndo unasimama njia panda ujui ufanye nini, kama alivosema masai dada pima unachoweza kuvumilia.....kuna kero zingine ni nzito, unaeza sema utavumilia huku ukitafuta dawa ukajikuta na ndoa mmefunga bado unajipa moyo tatizo litaisha afu lisiishe, iwe kero uamue kutafuta mchepuko ndo basi tena unahama na migogoro inaanzia hapo na hujui mwisho itakuwaje
 
Back
Top Bottom