Kukoroma Dawa yake nini? Nafikiria kumuacha mchumba wangu sababu hii

Wanawake wanatuvumilia mengi sana sisi wanaume.

Sisi wanaume tuna matatizo mengi zaidi ya hayo,uchafu,kuvuruga vitu chumbani,kunuka mdogo kutokana na masigara,pombe ugoro,kufungulia miredio usiku,kunuka mapua,vingi sana
Nyie wenye hayo matatizo. Sisi wanaume wengine hatuna.
 
Aisee umemaliza mkuu.
Kama kuna watu wanavumilia mengi basi wanawake. Imagine jitu linavuta sigara, haogi, ana kitambi kilo 100, mchafu mchafu meno ya njano ila mwanamke anaishi naye kiroho safi.

Jamaa atulie tu na mrembo
Ni hao hao sasa siyo mimi. Ngekuwa na hayo matatizo ngenyamaza kuwa naye ananivumilia. But sina.
 
Maisha ni zaidi ya tunavyoyaona na kuyachukulia, pengine mwandishi hajui kwamba yeye pengine ni kilema,mgonjwa au mwenye matatizo mtarajiwa. Je, atajisikiaje jamii ikimtenga kutokana na hali yake?
Kwa hiyo unaweza ukiwa na bawasiri usiseme sababu ni kilema chako? Huo ni Ujinga na ufala. Kama hujui baki na bawasiri yako..... Ila wenye akili watatafuta dawa.
 
Aisee umemaliza mkuu.
Kama kuna watu wanavumilia mengi basi wanawake. Imagine jitu linavuta sigara, haogi, ana kitambi kilo 100, mchafu mchafu meno ya njano ila mwanamke anaishi naye kiroho safi.

Jamaa atulie tu na mrembo
Kuna blaza mmoja ana hizi sifa [emoji1787][emoji1787]
Bonge la tumbo
Meno ya njano
Anavuta sigara
Anakula ugoro
Anakula mirungi
Jamaa anasinziaga kwenye kiti tui alaf anakoroma na mdomo upo wazi [emoji23][emoji23] ,,, sasa jiulize je akilala usiku Inakuwaje na mkewe inakuaje? Yaan kwenye kiti tu anakoroma na domo lote analiacha wazi.

Ila mke wake ukimuona ni kama wolper yule bongo movie,, huyu dada (mke wake)anavumilia mengi aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Nunua ear plugs
 
Niliwahi kucomment humu kuwa kukoroma kunadhoofisha ndoa watu wakabisha ...sasa leo tunawitness
 
Aisee πŸ˜‚
 
Nenda kwa wachina wenye gareg aisee wamtenengenezee kifaa Cha sound proof.
 
Achana nae tu humpendi, likiisha la kukoroma utaona jingine. Binadamu tuna madhaifu. Hata wewe kuna yako unayo utakayekuwa naye atakuvumilia.
 
Wanawake wanatuvumilia mengi sana sisi wanaume.

Sisi wanaume tuna matatizo mengi zaidi ya hayo,uchafu,kuvuruga vitu chumbani,kunuka mdogo kutokana na masigara,pombe ugoro,kufungulia miredio usiku,kunuka mapua,vingi sana
Wewe una hizo hulka?
Kweli Mkeo anavumilia tabu..
 
Muda mwingine ni kuvumiliana tu,huo ndiyo upendo,usimuache,ukiona halivumiliki hilo tatizo,ungana nae kutacuta tiba.Pole mkuu.
 
Ukipenda boga penda na ua lake,
Kukoroma it's a minor thing unless hujampenda huyo mrembo.
 
Mara nyingi watu wenye shingo fupi hukoroma kwa sababu ya maimbile yao. Kama huyo mkoromaji wako ana shingo fupi hamna namna yoyote ya kumsaidia asikorome.
Nipe pruf ya hii mkuuu [emoji120][emoji120] dah [emoji851] sayansi bhana
 
Huwezi jua na ww amekuvumilia kiasi gani hakuna aliekamika..huenda naww unashoo mbovu ila kavumilia tu.
 
akianza kukoroma wewe badilisha uelekeo wa kulala. Peleka kichwa upande wa miguu..

shida akijamba sasa sijui itakuaje.

au lala ukiwa mziki.mzito pembeni kamwe hutockia mkoromo!
 
Kwa hiyo unaweza ukawa na bawasiri usiseme sababu ni kilema chako? Huo ni Ujinga na ufala. Kama hujui baki na bawasiri yako..... Ila wenye akili watatafuta dawa.
Mkuu hata kama shule hujafika mbali, hata kusoma na kuelewa mambo madogo bado kwako ni tatizo? 😁 😁 😁 Hapa ndo pale kichwa kinakuwa mzigo kwa miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…