Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

NAMNA YA KUMALIZA TATIZO LA KUKOROMA
Habari za kazi mheshimiwa Michuzi,nilipitia hapa kwenye blog yako nikakuta bwana Chumaka wa Korogwe akiomba msaada wa namna ya kutatua tatizo lake la kukoroma ambalo linamnyima mkewe usingizi.Majibu mengine niliyoyasoma yalikua ya ajabu na pia hayakuweza kumsaidia bwana Chumaka.Na vifaa vingi vilivozungumzwa kwa mtu aliyopo Korogwe sidhani angevipata kwa urahisi. Kwakua kulikua na comments zaidi ya 35 nikahisi nikiweka na yangu pale wengi hawataiona,naomba uiweke peke yake ili iweze kusaidia watu kama mimi ilivyonisaidia.Niliwahi kusafiri na mzee wa kijapani kwenda mikoani kikazi na katika safari zetu kuna siku ilibidi tulale kwenye mji mdogo ambao tulikosa vyumba na kupata kimoja tu ambacho kilikua na vitanda viwili.Watu wengi walishaniambia kuwa nakoroma sana nilalapo usiku.Siku ya pili tulipokua tunapata kifungua kinywa yule mzee akaniambia nina tatizo la kukoroma na atanifundisha namna ya kulitatua bila kutumia dawa,mbinu ambayo wanaitumia kwao.Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma.Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu.Mzee huyu aliniambia mtu anaekoroma mwili wake haupati mapumziko ya kutosha na mara nyingi huamka huku bado akihisi uchovu na husababisha watu wengine kunenepa sana na wengine kukonda ikitegemea mwili wa muhusika na homoni zake. Tatizo langu liliisha kabisa baada ya wiki 2 lakini naendelea na mazoezi hata mara mbili kwa wiki ili misuli isilegee tena.Kwakua naishi peke yangu ilibidi nimchukue waifu wa siku 2-3 anihakikishie sikoromi kabisa.Nikiamka siku hizi sihisi uchovu ule wa zamani.Mdau Ibrahim,D'salaam
 
Nipe mawasiliano basi bibie! Hii shida jamani!

muelekeeze ofisini kwangu nitamshauri namna ya kufanya na atapata dawa ya usingizi
ila ajue kuwa aliapa kuwa atakuwa naye katika shida na raha kwanije kuona kudhia?
 
Asante mkuu! Its a good help for sure! Dr mzizi nae alisema kama haya

NAMNA YA KUMALIZA TATIZO LA KUKOROMA
Habari za kazi mheshimiwa Michuzi,nilipitia hapa kwenye blog yako nikakuta bwana Chumaka wa Korogwe akiomba msaada wa namna ya kutatua tatizo lake la kukoroma ambalo linamnyima mkewe usingizi.Majibu mengine niliyoyasoma yalikua ya ajabu na pia hayakuweza kumsaidia bwana Chumaka.Na vifaa vingi vilivozungumzwa kwa mtu aliyopo Korogwe sidhani angevipata kwa urahisi. Kwakua kulikua na comments zaidi ya 35 nikahisi nikiweka na yangu pale wengi hawataiona,naomba uiweke peke yake ili iweze kusaidia watu kama mimi ilivyonisaidia.Niliwahi kusafiri na mzee wa kijapani kwenda mikoani kikazi na katika safari zetu kuna siku ilibidi tulale kwenye mji mdogo ambao tulikosa vyumba na kupata kimoja tu ambacho kilikua na vitanda viwili.Watu wengi walishaniambia kuwa nakoroma sana nilalapo usiku.Siku ya pili tulipokua tunapata kifungua kinywa yule mzee akaniambia nina tatizo la kukoroma na atanifundisha namna ya kulitatua bila kutumia dawa,mbinu ambayo wanaitumia kwao.Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma.Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu.Mzee huyu aliniambia mtu anaekoroma mwili wake haupati mapumziko ya kutosha na mara nyingi huamka huku bado akihisi uchovu na husababisha watu wengine kunenepa sana na wengine kukonda ikitegemea mwili wa muhusika na homoni zake. Tatizo langu liliisha kabisa baada ya wiki 2 lakini naendelea na mazoezi hata mara mbili kwa wiki ili misuli isilegee tena.Kwakua naishi peke yangu ilibidi nimchukue waifu wa siku 2-3 anihakikishie sikoromi kabisa.Nikiamka siku hizi sihisi uchovu ule wa zamani.Mdau Ibrahim,D'salaam
 
ila niliwahi kusikia wazee wakisema kwamba mtu akikoroma muite kwa jina ambalo silo lake. mfano kama anaitwa juma unaweza muita joseph kama akiitika basi hata koroma tena(imani za kijadi hizo) sijawahi jaribu
DEMBA hii mila ni ya kabila gani...?! Maana sipati picha wife badala ya kuniita Joseph akaniita Ibra na wakati huohuo nna mashaka na Ibra!! BTW kuna vitu vingi sana tunafanya na tunapona kwa imani haijalishi ni imani ya kijadi au ya kisasa.
 
Last edited by a moderator:
ni pm nikuelekeze dawa.hapa watoto wa shule wanaleta utani.mme wangu alikiwa mkoromaji majirani wote walimtambua kwa hilo.alipona kwa mda wa wiki moja tu.

Watoto wa shule wanaharibu sana Jukwaa,kidogo tu utaona wanataka picha
 
Dawa yake ni ndogo 2.. pindi anapokoroma mfunge mdomo na pua mpaka kwa kama sekunde 30 hivii na zoezi liwe la kujirudia kama mara 3 kila atakapo koroma uone matokeo yake

MMmh jaman hamtasababisha mtu afe kweli?umfumbe mtu mdomo na pua na yuko ucngzni??(kwa sekunde 30????)
 
Naomba msaada wa kitaalam juu ya tatizo la KUKOROMA kila nikisinzia. Yaani hata nilale kiubavu nakoroma tu. Tatizo hili ninalo sasa huu mwezi wa tatu. Zamani nilikuwa sikoromi kabisa!! Nifanyeje ili tatizo hili liishe?
 
Ngoja MziziMkavu aje!
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa umeongezeka uzito. mara nyingi uwiano wa uzito na kimo chako kikizidi kipimo unachotakiwa BMI hupelekea mtu kukoroma.
 
Naomba msaada wa kitaalam juu ya tatizo la KUKOROMA kila nikisinzia. Yaani hata nilale kiubavu nakoroma tu. Tatizo hili ninalo sasa huu mwezi wa tatu. Zamani nilikuwa sikoromi kabisa!! Nifanyeje ili tatizo hili liishe?
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje

mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma

na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma.

Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea

mtu hadi mtu.Mkuu.
@
Devil's Driver Ukipona uje utupe Feedback
 
Utakuwa umeongezeka uzito. mara nyingi uwiano wa uzito na kimo chako kikizidi kipimo unachotakiwa BMI hupelekea mtu kukoroma.

Inawezekana kwani na mimi nilipokuwa na uzito Mdogo sikuwa nakoroma ila sasa kila wakati inabidi wife kunipiga kipepsi kunishtua
 
Yapata miaka 3 sasa tangu tatizo la kukoroma kuzidi kukuwa na Kuwa kero Mara nikiwa popote pale na hasa ugenini. Wana JF acheni utani mnisaidie mwenzeni sina raha Mie.
 
Back
Top Bottom