Unyonge unaoupata na wao mambo yao ya kifedha hayaendi vizuri huko. Watu hawajui tu kuwa huwezi kufanikiwa kwa kutumia hela ya mtu mwenye kinyongo. Unakopa hurudishi unajiona mjanja.Pesa za kudai, nishafanya kusamehe na nimekoma mie mtu sasa akija na kuniambia anahitaji nimkopeshe nahesabia nimetoa tu, akilipa sawa asipolipa hewala ila natoa ile pesa ambayo si ya mipango na iwe ndogo ndogo ila pesa nyinging nimekoma labda awe mtu wangu wa karibu sana
Ukata umenishika ila nikihesabu pesa zilizo kwa watu, najisikia unyonge tu.
Aisee umenikumbusha rafiki yangu akilewaaa huwa anaongea huku analiaMi sasa naumwa. Sinununi ila ntaumwa kichwa. Halafu nikinywa pombe kidogo tu nawaka naanza kulia [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakuombaje hela dada yao? Au kwa kuwa mi sina dada wa kumuomba hela ndo maana sielewi hapoWalikuwa na tabia ya kuniomba pesaa ndogo ndogo toka niwakopeshe naona wamepunguza kabisa hata hivyo mashukur
Kero ndogo ndogo zimepungua
Alafu wanaosumbua ni hivi vidada vimemaliza chuo havitak kufanya kazi
Vinasubiria magufuuli achekeeee
Ni shida sana
Wanakeraaaaalafu unakuta mdaiwa hana hata habari yani
Siwez kabisa dada najua kujicontrol nikiwa kwenye sekta hiyoUtawauwa watoto wetu wewe
Kama hayajakukuta unakua huelewi. Mimi kweli nimejifunza kukopesha watu. Kukopa mi wala sina shida maana najua lazima nirudishe.Kote nasoma naona watu mnadai tu hakuna anaedaiwa?
Anyways mimi na mambo ya kukopeshana ni vitu viwili tofauti. Heri uniambie nisaidie kuliko kuniambia nikukopeshe maana najua tutaishia kugombana
Ukiwa dada mtihani sana ndugu yanguWanakuombaje hela dada yao? Au kwa kuwa mi sina dada wa kumuomba hela ndo maana sielewi hapo
Dada wewe mzur unalala tu huna stressMaisha yamekuwa magumu sana! Mie nikiishiwa huwa nalala kabisaaa tena usingizi mzitoo!!
Acha hiyo kazi tafuta nyingine inayolipa zaidiKamshahara kangu kadogo mkuu hakatoshi kumaliza shida zangu nilizo nazo