Kukosa Hela

Akikopeshwa atalipa???
 
Hii itakua sio style mpya ya uchunaji kweli?
 
Bora Wewe uliyekosa tu Hela Mkuu kwani mwenzako Mimi nimekosa Hela, Mbunye na hata Kipaji changu cha Kutongoza nacho siku hizi Kimetoweka kabisa kwenda Kusikojulikana hivyo mambo kuwa ' valuvalu ' tupu.
Mkuu wewe hauna tofauti na mimi kabisa. Yan haijawahi kutokea katika ndoano ninatotupa tano basi mbili lazima zikae sawa. Lakini sa ivi ni majanga. Mwezi unapita hujagusa mbenye yoyote. Nikaamua kurudi kwa ma Ex yooooo weee yan huko ndio unaishia kuchambwa kama Riyama alichomfanyia Benpol kwenye kipindi cha Shilawadu. Ukijicheki na mfukoni mambo ni mabaya sana.

Daah ila mi naamini yatapita tu. One day yes
 
Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…