Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Saiv najikausha nawaambia tu sna basiii alafu hpo hapo naanzisha story kibao mara kikoba mara mchezo anajiongeza anaona huyu ana madeni kibaoSema umeshajifunza hutaazima tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saiv najikausha nawaambia tu sna basiii alafu hpo hapo naanzisha story kibao mara kikoba mara mchezo anajiongeza anaona huyu ana madeni kibaoSema umeshajifunza hutaazima tena.
Machoz huwa yanatoka mengiii sjui kwannMi siongei naliaa tuu
Akikopeshwa atalipa???Duh!...siku hizi kukosa pesa ni suala la kawaida sana.
Mimi binafsi mwezi ulioisha hali yangu kifedha ilikuwa mbaya lkn namshukuru mungu tokea tarehe 24 mambo yangu yamerejea pale napopataka
Mungu akufanyie wepesi upate mtu akukopeshe hata kidogo naww
Ww mkopeshe ndio utapata jibuAkikopeshwa atalipa???
Hii itakua sio style mpya ya uchunaji kweli?Najisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.
[emoji3][emoji3][emoji3] polee jaman
Haya muulize ataka ngapi.Ww mkopeshe ndio utapata jibu
Unapataje usingizi na huna hela dadake??Maisha yamekuwa magumu sana! Mie nikiishiwa huwa nalala kabisaaa tena usingizi mzitoo!!
Mkuu wewe hauna tofauti na mimi kabisa. Yan haijawahi kutokea katika ndoano ninatotupa tano basi mbili lazima zikae sawa. Lakini sa ivi ni majanga. Mwezi unapita hujagusa mbenye yoyote. Nikaamua kurudi kwa ma Ex yooooo weee yan huko ndio unaishia kuchambwa kama Riyama alichomfanyia Benpol kwenye kipindi cha Shilawadu. Ukijicheki na mfukoni mambo ni mabaya sana.Bora Wewe uliyekosa tu Hela Mkuu kwani mwenzako Mimi nimekosa Hela, Mbunye na hata Kipaji changu cha Kutongoza nacho siku hizi Kimetoweka kabisa kwenda Kusikojulikana hivyo mambo kuwa ' valuvalu ' tupu.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Asante My Dear Mrs. GENTAMYCINE. Mwaaaaaaahhhhhhh....
Sasa nikuelewe vipi hapo mkuu....Nikikopeshwa nalipa ila sitaki mkopo.
AmeenMkuu wewe hauna tofauti na mimi kabisa. Yan haijawahi kutokea katika ndoano ninatotupa tano basi mbili lazima zikae sawa. Lakini sa ivi ni majanga. Mwezi unapita hujagusa mbenye yoyote. Nikaamua kurudi kwa ma Ex yooooo weee yan huko ndio unaishia kuchambwa kama Riyama alichomfanyia Benpol kwenye kipindi cha Shilawadu. Ukijicheki na mfukoni mambo ni mabaya sana.
Daah ila mi naamini yatapita tu. One day yes