Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Wamasai pia namba ya voda utasikia yelooo?
Una nyota ya Gete Gete.Mimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke.
Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa kuelewana huwa nawaambia wamekosea kupiga.
Wengine watarudia mara mbili au tatu na wakati umemwambia amekosea.
Hoja yangu ni kwamba kwanini wawe wasukuma tu? Ina maana nchi hii ina idadi kubwa ya Wasukuma? Au nini ndugu zangu?
Usisahau na wakuryaMimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke.
Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa kuelewana huwa nawaambia wamekosea kupiga.
Wengine watarudia mara mbili au tatu na wakati umemwambia amekosea.
Hoja yangu ni kwamba kwanini wawe wasukuma tu? Ina maana nchi hii ina idadi kubwa ya Wasukuma? Au nini ndugu zangu?
[emoji38][emoji38][emoji38] ni kweli kabisa,namba yangu ya Airtel haipiti siku tatu bila kupokea simu ya msukuma au mmasai.Tena mtandao wa airtel, wasukuma wasumbufu haijawahi tokea. Halafu wanaamini kila mtu anapaswa kujua lugha yao
Ye amekosea halafu anakuuliza tena we naniHao watu wasumbufu sana halafu ni wagumu sana kuelewa mtu unamwambia umekosea lakini waapi anarudia tena mara nyingi huwa navua koti la ustaarabu na kuvaa la matusi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28]Wasukuma na Waha wenyewe wakipata vocha kazi yao nikujitungia namba yoyote na kuanza kupiga cm... Kazi yao ni kusalimia tu hadi dakika ziishe ndio starehe yao...
kabla ya sensa ya juzi tulikua zaidi ya robo ya watz wote tuvumilie tu mkuuMimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke.
Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa kuelewana huwa nawaambia wamekosea kupiga.
Wengine watarudia mara mbili au tatu na wakati umemwambia amekosea.
Hoja yangu ni kwamba kwanini wawe wasukuma tu? Ina maana nchi hii ina idadi kubwa ya Wasukuma? Au nini ndugu zangu?
Nilidhani ni mimi tu! Hao jamaa wananisumbua sana, na hawa wa ArushaMimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke.
Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa kuelewana huwa nawaambia wamekosea kupiga.
Wengine watarudia mara mbili au tatu na wakati umemwambia amekosea.
Hoja yangu ni kwamba kwanini wawe wasukuma tu? Ina maana nchi hii ina idadi kubwa ya Wasukuma? Au nini ndugu zangu?
Umeshatoa jibu sahihi, wasukuma ni wengi kupindukia, wana occupy mikoa isiyopungua mitano, halafu wengi hawajasoma, ndio maana wanakosea kupiga.Mimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke.