Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

Tena mtandao wa airtel, wasukuma wasumbufu haijawahi tokea. Halafu wanaamini kila mtu anapaswa kujua lugha yao
Na hili mitandao ya simu ikaliangalie
 
😂😅Wasukuma na Waha wenyewe wakipata vocha kazi yao nikujitungia namba yoyote na kuanza kupiga cm... Kazi yao ni kusalimia tu hadi dakika ziishe ndio starehe yao...
Tenaaa!!! mbona huwa wanakomaa na majina au wanauliza wewe ni fulani?
 
Hao watu wasumbufu sana halafu ni wagumu sana kuelewa mtu unamwambia umekosea lakini waapi anarudia tena mara nyingi huwa navua koti la ustaarabu na kuvaa la matusi.
shida hata uwakemee kesho atarudia tena kupiga hadi achoke
 
Ni kweli siku ya tatu Leo wanapiga asubuhi, mchana,jioni hata usiku.Jana Niko kwenye vikao wanapiga ukipokea wanaongea kisukuma,yaan nilikereka sana, baada ya hapo Nimejaribu kuziblock zile number Wikiend naweza shinda vizuri Walau.Usiombe hao jamaa wakosee no alafu sio waelewa hata ukiwaambia umekosea.
Ukweli hawana muda, jana nilipigiwa saa nane usiku, kupokea nakutana naye, sikumwelewa, nilitaka simu, akapiga tena!
 
Kuna kipindi niliwahi fanya kazi call center ya kampuni fulan hivi.. yaan haipiti robo saa unapokea simu ya Msukuma halafu hajui kapiga wap anabaki anauliza na kubung'aa tu, walikuwa wanatukera asee 😂😂
Aisee!!
 
Achana na hyo hata wanaopiga simu kwenye vipindi vingi vya redio na wanaocheza mchongo pesa sijui tatu mzuka wengi ni hao jamaa dijaro wa rungu ilikuwa anawatandika mikwaju kwenye kipindi chake kile cha bunga bongo na tbc fm kuna mmoja aliulizwa kilo moja ya ndifu na kilo moja ya mawe ipi nzito ngosha akajibu kilo moja ya mawe dijaro akatandika hao jamaa exposure ndo inawasumbua.
Hili nalo likaangaliwe
 
Back
Top Bottom