Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

Sijui kwanini aisee..wasukuma na Waha sijui kuna tatizo gani huko,halafu kingine hata zile namba ambazo zinabadilishwa na kupewa mtumiaji mwingine baada ya mwenye nayo kuitelekeza nazo pia wanazielekezea huko si mara moja nakutana na kesi hizi
Hata mm laini yangu ya voda wamempa mtu kutoka kigoma laini ilikuwa situmii
Pia nimeshapigiwa simu Mara nyingi na wasukuma kukoseanmb
P
 
Sijui kwanini aisee..wasukuma na Waha sijui kuna tatizo gani huko,halafu kingine hata zile namba ambazo zinabadilishwa na kupewa mtumiaji mwingine baada ya mwenye nayo kuitelekeza nazo pia wanazielekezea huko si mara moja nakutana na kesi hizi
Hata mm laini yangu ya voda wamempa mtu kutoka kigoma laini ilikuwa situmii
Pia nimeshapigiwa simu Mara nyingi na wasukuma kukosea
P
 
Kuna kipindi niliwahi fanya kazi call center ya kampuni fulan hivi.. yaan haipiti robo saa unapokea simu ya Msukuma halafu hajui kapiga wap anabaki anauliza na kubung'aa tu, walikuwa wanatukera asee 😂😂
Mkuu goloko nimekuelewa mm Ni junior goroko
 
Write your reply...
Hapo wanajaribu kukukaribisha ktk system. USIHOFU
 
Hao jamaa wanokosea kama nisim ya mkeo wanamsumbua mpaka uingilie kati umkoromee harudii tena.

Wanfany kusudi kuna wasukuma na wakurya
 
Hao jamaa wanokosea kama nisim ya mkeo wanamsumbua mpaka uingilie kati umkoromee harudii tena.

Wanfany kusudi kuna wasukuma na wakurya
Halafu kweli. Kuna huyo msukuma alikosea namba. Namwambia amekosea ila kila siku anatuma msg na kupiga simu. Siku anapiga nipo na Mr anaona sipokei, akaniambia pokea simu.
Nikapokea akaanza kuniuliza "mbona kimya sana" . Mr ndio akamchimba mkwara mmoja matata ndio ikawa mwisho wa kupiga.
 
Hapo chacha.
Kuna mbaba alikosea kunipigia mara tatu kwa siku moja.
A man from Geita.
Changamoto sana
 
Sijui kwanini aisee..wasukuma na Waha sijui kuna tatizo gani huko,halafu kingine hata zile namba ambazo zinabadilishwa na kupewa mtumiaji mwingine baada ya mwenye nayo kuitelekeza nazo pia wanazielekezea huko si mara moja nakutana na kesi hizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha kuna namba moja my niece aliitelekeza mimi sina hili wala lile nikapiga kumbe amepewa msukuma bwana, nilijuta....ile namba ilinisumbua kama mwaka mzima. Ilifika wakati namfokea ile kumfokea kama mtoto anapumzika miezi kadhaa siku nyingine unaona tena huyooo
 
Kuna kipindi niliwahi fanya kazi call center ya kampuni fulan hivi.. yaan haipiti robo saa unapokea simu ya Msukuma halafu hajui kapiga wap anabaki anauliza na kubung'aa tu, walikuwa wanatukera asee [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] voda hiyo
 
Back
Top Bottom