Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

Una nyota ya Gete Gete.

Wakurya nao wataanza kukumisscall soon
 
U
Usisahau na wakurya
 
Ni kweli siku ya tatu Leo wanapiga asubuhi, mchana,jioni hata usiku.Jana Niko kwenye vikao wanapiga ukipokea wanaongea kisukuma,yaan nilikereka sana, baada ya hapo Nimejaribu kuziblock zile number Wikiend naweza shinda vizuri Walau.Usiombe hao jamaa wakosee no alafu sio waelewa hata ukiwaambia umekosea.
 
Kuna kipindi niliwahi fanya kazi call center ya kampuni fulan hivi.. yaan haipiti robo saa unapokea simu ya Msukuma halafu hajui kapiga wap anabaki anauliza na kubung'aa tu, walikuwa wanatukera asee 😂😂
 
kabla ya sensa ya juzi tulikua zaidi ya robo ya watz wote tuvumilie tu mkuu
 
Nilidhani ni mimi tu! Hao jamaa wananisumbua sana, na hawa wa Arusha
 
Achana na hyo hata wanaopiga simu kwenye vipindi vingi vya redio na wanaocheza mchongo pesa sijui tatu mzuka wengi ni hao jamaa dijaro wa rungu ilikuwa anawatandika mikwaju kwenye kipindi chake kile cha bunga bongo na tbc fm kuna mmoja aliulizwa kilo moja ya ndifu na kilo moja ya mawe ipi nzito ngosha akajibu kilo moja ya mawe dijaro akatandika hao jamaa exposure ndo inawasumbua.
 
Umeshatoa jibu sahihi, wasukuma ni wengi kupindukia, wana occupy mikoa isiyopungua mitano, halafu wengi hawajasoma, ndio maana wanakosea kupiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…