Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 403
Mimi wananitesa,Wasukuma na hao jirani zaoHawa sio sanaa
Ukweli hawana muda, jana nilipigiwa saa nane usiku, kupokea nakutana naye, sikumwelewa, nilitaka simu, akapiga tena!Ni kweli siku ya tatu Leo wanapiga asubuhi, mchana,jioni hata usiku.Jana Niko kwenye vikao wanapiga ukipokea wanaongea kisukuma,yaan nilikereka sana, baada ya hapo Nimejaribu kuziblock zile number Wikiend naweza shinda vizuri Walau.Usiombe hao jamaa wakosee no alafu sio waelewa hata ukiwaambia umekosea.
Hili nalo likaangaliweAchana na hyo hata wanaopiga simu kwenye vipindi vingi vya redio na wanaocheza mchongo pesa sijui tatu mzuka wengi ni hao jamaa dijaro wa rungu ilikuwa anawatandika mikwaju kwenye kipindi chake kile cha bunga bongo na tbc fm kuna mmoja aliulizwa kilo moja ya ndifu na kilo moja ya mawe ipi nzito ngosha akajibu kilo moja ya mawe dijaro akatandika hao jamaa exposure ndo inawasumbua.