Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Wanasubiriwa watalaamu kutoka udsmSawa, waunganishe sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasubiriwa watalaamu kutoka udsmSawa, waunganishe sasa
Wanavyo kaza fuvu sasa mait wa bongo zero,sifuri maneno kibao, wakati wanawachagulia watoto wako course za it hawajui huu ni wito kama vile uchungaji au udocta ukija kusoma ilimradi mjomba kaniambia it inapesa ndio hao wanatuharibia sifaMwambie siku nyingine awe anauliza kwanza...
Huduma ya internet haizalishwi, huunganishwa.Kwanini watanzania huko kwenye masomo ya Sayansi huwa mnasoma nini ?
Lini bara la Afrika litakuwa na uwezo wa kuzalisha yenyewe huduma ya internet bila kutegemea huduma kutoka kwa mzungu ?
Wanataka wachomelee sasa wakiingia na hot gun kwenye maji inapoa.Hadi muda huu wamekosa hata plaizi ya kuunganishia huo waya
Kasi ya 6G na 100 MbpsNi pale yule mwamba alipotembelea humu, ndo na kila kitu kimeharibika
Kwa hio waingie na nini?Wanataka wachomelee sasa wakiingia na hot gun kwenye maji inapoa.
Acha uongo weweSio kazi ambayo kila mtu anaeweza ifanya ni makampuni machache yana uwezo wa kufanya hiyo shughuli duniani.
Pili ugumu wa kazi unategemea kina cha bahari. Halafu kuna kusubiri meli iliyo free ije kufanya hiyo kazi ya haraka (muda mwingi hizo meli zipo booked) na kama kina kirefu kazi ya kukata na kutandika line nyingine inafanywa na ‘remote operated vehicles’ ni complicated operation.
Ndio maana kwenye hiyo habari ya bbc imesema kuna makampuni yameanza kuamia kwenye subsea cable zinazotokea Europe sasa kuama ni rahisi, kuamisha data za mashirika ni shughuli nyingine ambayo inachukua muda.
Wako hatua gani sijui zaidi ya maelezo ya habari.
Unakuja kujiandikia vitu kutoka kichwani kwako halafu unataka kuwapa watu kazi ya kufanya research ambayo ungeweza fanya mwenyewe unadhani kila mtu anajiandikia mambo kama wewe.Acha uongo wewe
Kwamba hizi tower based telecommunications systems na undersea cable networks ni reliable na zina coverage kuliko satelite ?
Unajua unachoandika wewe ?
Unajua speed ya data transmission Kwa starlink satellite ?
Unajua coverage ya starlink satellite network ?
Unajua reliability yake ?
Unajua comparison ya gharama ya kutandaza huduma ya hizo fiber optic networks na telecommunications towers Vs gharama za kutandaza huduma kwa satellite ?
Au hujui satelite moja ya starlink inaweza toa huduma na reliable coverage kwa zaidi ya nusu ya Afrika ?
Unajua Afrika jinsi ilivyo na remote places ambazo ni cost forbidding kutandaza huo ushuzi wa hayo manyaya na milingoti ?
Wakati yangeweza kufikiwa na wireless network kwa satelite more cost efficient na reliably ?
Fanya research kabla ya kuandika na kupotosha mambo
marine.orange.com
kwahiyo mnafikiri itakuba bifu kati ya yanga na sundown bado linaendelea? kwanini tusitafute mbadala wa hizi mambo?Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo.
View attachment 2989668
Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo.
Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari zinazounganisha eneo hilo na dunia nzima kupitia Afrika Kusini, mtaalam wa sekta hiyo Ben Roberts aliambia BBC.
Hali kama hiyo ilishuhudiwa katika sehemu za Magharibi na Kusini mwa Afrika mwezi Machi.
Cloudflare Radar, ambayo inafuatilia uunganishaji wa intaneti, imesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathirika zaidi na trafiki kushuka hadi asilimia 30 ya viwango vinavyotarajiwa.
Gazeti la Citizen la Tanzania lilieleza kilichotokea kama "kuzimwa kwa mtandao ambao kumeathiri njia kuu za mtandao".
Safaricom, pia nchini Kenya, ilisema "inakabiliwa na changamoto". Airtel Uganda imesema inafahamu kuhusu "huduma ya mtandao ya mara kwa mara".
Na MTN Rwanda ilisema kulikuwa na "suala la uharibifu wa uhusiano wa kimataifa". Malawi, Msumbiji na Madagascar pia zimeathirika kulingana na Cloudflare Radar.
Bw Roberts, kutoka kampuni ya pan-Africa ya Liquid Intelligent Technologies, alisema kuwa amethibitisha kuwa kebo moja inayopitia kando ya pwani ya Afrika Mashariki, inayojulikana kama Eassy, ilikuwa imekatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban.
Kebo nyingine pia ilikatwa. Alipuuzilia mbali uwezekano kwamba huenda ni hujuma na uongeza kuha hali kama hiyo wakati mwingine hutokea kwa bahati mbaya.
Kebo zingine zinazounganisha Afrika Mashariki na Ulaya pia zinapatikana na hatua kwa hatua huduma inapaswa kuboreshwa kwani data inapitishwa tena.
Lakini kwa vile makampuni mengi makubwa yana vituo vya data nchini Afrika Kusini uharibifu wa kiungo muhimu ambacho Eassy hutoa ulikuwa na athari kubwa.
Chanzo: BBC
hata starlink inatumia cable(hiyo hiyo ya baharini) upande wa kati kati, naona ni yaleyaleNape angekubali internet ya Elon Musk ubgekuta tunaendelea kutumia starlink badala ya kulalamikia cable.
Yani cha tu, wabongo kazi kwelikweli 😂 😂Wanavyo kaza fuvu sasa mait wa bongo zero,sifuri maneno kibao, wakati wanawachagulia watoto wako course za it hawajui huu ni wito kama vile uchungaji au udocta ukija kusoma ilimradi mjomba kaniambia it inapesa ndio hao wanatuharibia sifa
Tatizo wamehodhi hiyo biashara, hata tuwe na hao wataalamu hatuwezi fanya iyo kitu hivyo unavyowaza Mkuu.Kwanini watanzania huko kwenye masomo ya Sayansi huwa mnasoma nini ?
Lini bara la Afrika litakuwa na uwezo wa kuzalisha yenyewe huduma ya internet bila kutegemea huduma kutoka kwa mzungu ?
Mkuu unachangia mada ukiwa mkoa gani.hata starlink inatumia cable(hiyo hiyo ya baharini) upande wa kati kati, naona ni yaleyale
Dondwe, PwaniMkuu unachangia mada ukiwa mkoa gani.
Quran imeeleza nini kuhusu kukatika hiyo cable?
Kwahiyo internet ni shari?![]()
Qur'an 2: 216. Mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachusha kwenu. Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui.
Soma vizuri halafu amua wewe.Kwahiyo internet ni shari?