Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

Tunazungumza mambo ya msingi wewe umekalia siasa tu.

Hayo mambo ya msingi siasa ndio msingi wake. Isitoshe hili ni jukwaa la siasa, vinginevyo peleka hii hoja yako jukwaa la uchumi.
 
Wewe ni mwehu,data zipikwe Ili iwaje? Mbona mna akili za kitoto Sana? Thibitisha kama data zimepikwa au leta zako basi.

Zama za kupika data zilizikwa Chato.

Acha kupanick boss. Unadhani tumelala kwa hivyo? Kama zama za kupika data zimekwisha tusingesikia kila pesa zimetolewa na rais. Kuna tofauti gani na zile propaganda mfu za enzi za dhalimu?
 
Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii.

Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki...

Mkuu umepunguzwa kwenye sheet ya malipo ya buku 10 kila siku nn??
 
Acha kupanick boss. Unadhani tumelala kwa hivyo? Kama zama za kupika data zimekwisha tusingesikia kila pesa zimetolewa na rais. Kuna tofauti gani na zile propaganda mfu za enzi za dhalimu?
Huo utaratibu ulianzishwa na Mwendazake na unatumika kuelezea mafanikio ya uongozi wa Rais but not necessarily kwamba Yeye ndio anatoa.

Lakini ni ukweli kwamba hayo mafanikio yanatokana na uongozi wake na Serikali yake.

Sasa kama kaupiga mwingi ni haramu kusifiwa?
 
Anaupiga mwingi kwa hii inflation? Au kuupiga mwingi unaongea kwa kufuata mkumbo?
 
Inflation ndio inazuia kuupiga mwingi? Unaelewa hata unachoongea lakini?

Turkey inflation imefikia 40% lakini GDP is still growing.

Na GDP hapa imekuwa kwa kiasi gani? Unafananisha Turkey na hii shithole country?
 
Hujui hata Uchumi,nchi kama yetu ambayo uchumi ni relatively informal mambo ya inflation hayana athari Sana kuliko Nchi zilozoendelea kama Turkey.

Ndio maana despite hiyo inflation the economy is growing at more than 5%
 
Uchumi upi unakua kwa 5%? Amka usije ukachafua godoro.
 
Wanarukia petty issues na kuacha mambo ya msingi.
Hakuna mwanachi hata mmoja mtaani aliyelalamikia Serikali tatizo la umeme wala maji. Nyie mnaolalamika humu siyo watanzania. Msitumie JF yetu kuchafua Serikali na nchi yetu nyie majirani wa mashaka.
 
Kweli kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Bei acha zipande tuu kwa sababu ni Nje ya uwezo wa serikali, serikali haikuanzisha vita ya Ukraine..

Kuhusu maji utakuwa una matatizo makubwa Sana na unashinda kwa shemeji yako hapo huna akili za kutafuta source au kwenda site...
Kuzindua siyo maji kupatikana,unazindua Leo kesho maji hakuna,Mara bili ya umeme,pump mbovu,bomba limepasuka, transformer mbovu shida kibao wasisukume maji ili mambo yaende sawa.
 
Mkishatupwa nje ya mfumo ndio mnajua kuna suala la kukemea uovu?

Simuungi mkono huyu mama ila nyie wapambe wa jiwe mlikua wapi kukemea uhuni uliokuwa ukifanywa na kina Musiba !

Yaani wahuni wakawa wanatoa ushauri wa kitalaam wakati hawajui chochote.

Wakati watu wanakufa Musiba anasema Corona ni futa tu hiyo audacity ya kuona uovu wa sasa mnaitoa wapi ilhali watu walikufa na mkazuia utoaji data ?
 
Kuzindua siyo maji kupatikana,unazindua Leo kesho maji hakuna,Mara bili ya umeme,pump mbovu,bomba limepasuka, transformer mbovu shida kibao wasisukume maji ili mambo yaende sawa.
Ukifungua bomba ni vumbi tu linatoka.
 
Wanarukia petty issues na kuacha mambo ya msingi.
Kwani upande wa kijani wanasemaje kuhusu hill?

Mbona nyie mnapenda kuendeshwa na wanasiasa.

Kuna bidhaa zingine hata zikipanda siyo lazima kuzitumia, kwanini watu msifanye mgomo baridi Badala ya kulalamika
Ndomana wahusika wanajua mtalalamika mwishowe mtanunua tu, mtazoea tu maisha yataendelea

Ova
 
Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii.

Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki...
Mswahili unamkabidhi madaraka makubwa hivyo unategemea nini?
 
Back
Top Bottom