Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Bonge la point snMagufuli alinajisi uchaguzi akaweka bunge la wanaccm tu. Sasa hao wabunge wa ccm wahoji hii inflation. Na vitu vinatakiwa viendelee kupanda bei hivi hivi ili wananchi wajue madhara ya kukosekana upinzani nchini.