The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wewe ni mwehu,data zipikwe Ili iwaje? Mbona mna akili za kitoto Sana? Thibitisha kama data zimepikwa au leta zako basi.Wapika data tunawacheck tu.
Tunazungumza mambo ya msingi wewe umekalia siasa tu.
Wewe ni mwehu,data zipikwe Ili iwaje? Mbona mna akili za kitoto Sana? Thibitisha kama data zimepikwa au leta zako basi.
Zama za kupika data zilizikwa Chato.
Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii.
Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki...
Huo utaratibu ulianzishwa na Mwendazake na unatumika kuelezea mafanikio ya uongozi wa Rais but not necessarily kwamba Yeye ndio anatoa.Acha kupanick boss. Unadhani tumelala kwa hivyo? Kama zama za kupika data zimekwisha tusingesikia kila pesa zimetolewa na rais. Kuna tofauti gani na zile propaganda mfu za enzi za dhalimu?
Huo utaratibu ulianzishwa na Mwendazake na unatumika kuelezea mafanikio ya uongozi wa Rais but not necessarily kwamba Yeye ndio anatoa.
Lakini ni ukweli kwamba hayo mafanikio yanatokana na uongozi wake na Serikali yake.
Sasa kama kaupiga mwingi ni haramu kusifiwa?
Inflation ndio inazuia kuupiga mwingi? Unaelewa hata unachoongea lakini?Anaupiga mwingi kwa hii inflation? Au kuupiga mwingi unaongea kwa kufuata mkumbo?
Inflation ndio inazuia kuupiga mwingi? Unaelewa hata unachoongea lakini?
Turkey inflation imefikia 40% lakini GDP is still growing.
Hujui hata Uchumi,nchi kama yetu ambayo uchumi ni relatively informal mambo ya inflation hayana athari Sana kuliko Nchi zilozoendelea kama Turkey.Na GDP hapa imekuwa kwa kiasi gani? Unafananisha Turkey na hii shithole country?
Hujui hata Uchumi,nchi kama yetu ambayo uchumi ni relatively informal mambo ya inflation hayana athari Sana kuliko Nchi zilozoendelea kama Turkey.
Ndio maana despite hiyo inflation the economy is growing at more than 5%
Hakuna mwanachi hata mmoja mtaani aliyelalamikia Serikali tatizo la umeme wala maji. Nyie mnaolalamika humu siyo watanzania. Msitumie JF yetu kuchafua Serikali na nchi yetu nyie majirani wa mashaka.Wanarukia petty issues na kuacha mambo ya msingi.
Kuzindua siyo maji kupatikana,unazindua Leo kesho maji hakuna,Mara bili ya umeme,pump mbovu,bomba limepasuka, transformer mbovu shida kibao wasisukume maji ili mambo yaende sawa.Bei acha zipande tuu kwa sababu ni Nje ya uwezo wa serikali, serikali haikuanzisha vita ya Ukraine..
Kuhusu maji utakuwa una matatizo makubwa Sana na unashinda kwa shemeji yako hapo huna akili za kutafuta source au kwenda site...
Kwani upande wa kijani wanasemaje kuhusu hill?Wanarukia petty issues na kuacha mambo ya msingi.
Suala la maji mvumilie mambo yanawekwa sawa mdgmdgUkifungua bomba ni vumbi tu linatoka.
Mswahili unamkabidhi madaraka makubwa hivyo unategemea nini?Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii.
Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki...