Magufuli alinajisi uchaguzi akaweka bunge la wanaccm tu. Sasa hao wabunge wa ccm wahoji hii inflation. Na vitu vinatakiwa viendelee kupanda bei hivi hivi ili wananchi wajue madhara ya kukosekana upinzani nchini.
Kuzindua siyo maji kupatikana,unazindua Leo kesho maji hakuna,Mara bili ya umeme,pump mbovu,bomba limepasuka, transformer mbovu shida kibao wasisukume maji ili mambo yaende sawa.