Wameturudisha kazini kipindi cha sikukuu sasa hivi tunawafurahisha🐼Toka jana usiku umeme ni kero wanakata wanazima, wanakata wamezima.
Hii kerooo ni kwetu tu ama na huko kwenu.
Yaani unashindwa hata kufurahia na mwenzio kisa joto.
Uwe unatembelea pages za habari kama milard ayo na jamiiforums kupata habari muhimu.Toka Jana usiku umeme n kero wanakata wanazima
wanakata wamezima.
Hii kerooo n kwetu TU ama na huko kwenu.
Yaan unashindwa HATA kuhondomola na mwenzio joto
Inasaidia pia kutokuanzisha nyuzi nyingi kuhusiana na kitu kile kile ambacho watu wameshajadili tokea alfajir.Uwe unatembelea pages za habari kama milard ayo na jamiiforums kupata habari muhimu.
Hadi sasa hujui nini kinaendelea ni aibu.
Huoo mda WA kuchungulia Millard ..jamiii mda wotee napata wapiUwe unatembelea pages za habari kama milard ayo na jamiiforums kupata habari muhimu.
Hadi sasa hujui nini kinaendelea ni aibu.
Acha bange jamaaUooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo hatimaeee
Ni kweli.Inasaidia pia kutokuanzisha nyuzi nyingi kuhusiana na kitu kile kile ambacho watu wameshajadili tokea alfajir.
Mkome...Toka jana usiku umeme ni kero wanakata wanazima, wanakata wamezima.
Hii kerooo ni kwetu tu ama na huko kwenu.
Yaani unashindwa hata kufurahia na mwenzio kisa joto.
Unawaza kuzagamuana tu.Huoo mda WA kuchungulia Millard ..jamiii mda wotee napata wapi
Muda wa kuja huku umeutoa wapiHuoo mda WA kuchungulia Millard ..jamiii mda wotee napata wapi
Acha uongo!! Hitilafu gani kidogo inayotolewa ratiba ya kukatika ya kila wiki!!! Kuna maeneo mgao haujawahi kuisha.ni hitilafu kidogo
mama kashamaliza swala la umeme siku nyingi kwa sasa gurudumu la maendeleo linazidi kupamba moto sekta nyingine
mfano wa hayo maeneo nduguAcha uongo!! Hitilafu gani kidogo inayotolewa ratiba ya kukatika ya kila wiki!!! Kuna maeneo mgao haujawahi kuisha.
BafunMuda wa kuja huku umeutoa wapi
Hata taarifa za habari kwenye kiswaswaduHuoo mda WA kuchungulia Millard ..jamiii mda wotee napata wapi
Teuzi zimeisha Drni hitilafu kidogo
mama kashamaliza swala la umeme siku nyingi kwa sasa gurudumu la maendeleo linazidi kupamba moto sekta nyingine
unajaribu au unalenga kusema nini nduguTeuzi zimeisha Dr
Ishu ya umeme bado sana ukiachilia swala la leounajaribu au unalenga kusema nini ndugu