Kukosekana kwa umeme Usiku wa kuamkia April 1, 2024 kumbe shida ni Maji kuwa mengi Bwawa la Kidatu

Kukosekana kwa umeme Usiku wa kuamkia April 1, 2024 kumbe shida ni Maji kuwa mengi Bwawa la Kidatu

Toka jana usiku umeme ni kero wanakata wanazima, wanakata wamezima.

Hii kerooo ni kwetu tu ama na huko kwenu.

Yaani unashindwa hata kufurahia na mwenzio kisa joto.
Wameturudisha kazini kipindi cha sikukuu sasa hivi tunawafurahisha🐼

20240401_174404.jpg
 
Toka jana usiku umeme ni kero wanakata wanazima, wanakata wamezima.

Hii kerooo ni kwetu tu ama na huko kwenu.

Yaani unashindwa hata kufurahia na mwenzio kisa joto.
Mkome...
 
ni hitilafu kidogo

mama kashamaliza suala la umeme siku nyingi kwa sasa gurudumu la maendeleo linazidi kupamba moto sekta nyingine
 
ni hitilafu kidogo

mama kashamaliza swala la umeme siku nyingi kwa sasa gurudumu la maendeleo linazidi kupamba moto sekta nyingine
Acha uongo!! Hitilafu gani kidogo inayotolewa ratiba ya kukatika ya kila wiki!!! Kuna maeneo mgao haujawahi kuisha.
 
Back
Top Bottom