Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Wameturudisha kazini kipindi cha sikukuu sasa hivi tunawafurahisha🐼Toka jana usiku umeme ni kero wanakata wanazima, wanakata wamezima.
Hii kerooo ni kwetu tu ama na huko kwenu.
Yaani unashindwa hata kufurahia na mwenzio kisa joto.