Kukosekana kwa Watanzania wenye asili ya Asia kwenye majeshi yetu kunasababishwa na nini?

Kukosekana kwa Watanzania wenye asili ya Asia kwenye majeshi yetu kunasababishwa na nini?

Hi?
Nimekuwa nikijiuliza bila ya kupata majibu hivi hawa watanzania wenzetu wenye asili ya Arabu na India mbona siwaoni jeshini sio Tz bara wala visiwani.
Hao hatuna imani nao, na vile vile ukienda Arabuni au India huwezi kuta mtu mweusi typical anahudumu kwenye majeshi yao.

Ni Marekani tu ndo ina kila race kwenye jeshi lake.
 
Kama serikali haihamasishi kuwafanya kuwa ni wenzetu basi nao hawawezi kujipendekeza

Tukiwa shule walikuwa wanaimba nyimbo na sisi wanacheza ngoma za asili ila baadae wakaona serikali haina time nao

Ni ubaguzi tu kuanzia serikalini kwani serikali ingewapa Hamasa ya kujiunga wangejiunga sana tu
Nani asietaka nyota za jeshi?

Yaani leo wale tulikuwa tunasema ni wabaya [emoji636] ndio wanaajiri wenye asili zingine kibao
Kuna wachina police, wasomali, wanaijeria na wengi tu waliozaliwa hapa na kujiunga police

Kwa sababu serikali ndio inawaomba wajiunge ili kusaidia kutatua changamoto na mila za wahusika kama ugomvi wa familia kwa kutatua kimila

Sisi tumewatenga sana na kwa sababu gov yetu haiwajali na sisi pia tumekuwa racist na akitokea mmoja kaingia kwa mapenzi yake serikalini basi atabezwa kwa kuitwa majina ya kila aina

Tubadilike mbona Nyerere aliajiri
 
Kama serikali haihamasishi kuwafanya kuwa ni wenzetu basi nao hawawezi kujipendekeza

Tukiwa shule walikuwa wanaimba nyimbo na sisi wanacheza ngoma za asili ila baadae wakaona serikali haina time nao....
Je ni muhimu sana wakiwepo kwenye majeshi? Kuna upungufu wowote wasipoenda?

Race hiyo bongo ni matajiri na unafahamu siku zote jeshi asilimia kubwa wanaenda watu gani, ukiacha ndugu wa wanajeshi wakubwa ( hawa japo wametokea familia nzuri ila huenda jeshini).
 
Kama serikali haihamasishi kuwafanya kuwa ni wenzetu basi nao hawawezi kujipendekeza

Tukiwa shule walikuwa wanaimba nyimbo na sisi wanacheza ngoma za asili ila baadae wakaona serikali haina time nao...
Nyerere hakuwa mbaguzi

Kulikuwa na mpaka ma dc wazungu.

Ukienda sekta ya mahakama walikuwepo wahindi,waarabu huko

Ova
 
Je ni muhimu sana wakiwepo kwenye majeshi? Kuna upungufu wowote wasipoenda?
Race hiyo bongo ni matajiri na unafahamu siku zote jeshi asilimia kubwa wanaenda watu gani, ukiacha ndugu wa wanajeshi wakubwa ( hawa japo wametokea familia nzuri ila huenda jeshini).
Bhachu kaondoka kaacha Jina
 
Back
Top Bottom