Craven Cottage
Member
- Mar 8, 2019
- 90
- 384
Na kuna mtu kanotis kuwa hao watu wanaingia kwa wing sana kugombea nafasi za juu za Chama? Mwaka uliopita nikiwa katika mkoa x nikaona mgombea wa jamii hiyo na mfanyabiashara mkubwa kwa mkoa huo akijipapatua sana kuitaka nafas na pesa alimwaga haswaa yaan kiufupi wajumbe walitakata pesa, Nikawa najiuliza hzo pesa zote za nn? Na ataenda kufidia wapi ili zirudi? Nikapata jibu japo sio lasmi kuwa wengi wanafanya hvo si kuwa kwenye chama wanapata pesa nyingi ila wanatafuta kinga za biashara zao. Ukweli hata mim ilinikuta hii wakat nasafirisha mzgo wangu wa nafaka kutoka nyanda za juu kuupeleka kanda za kati nikafika eneo flan wakakaguz wa ushur na mambo mengine wakataka niwape vibal na nilitoa vibal vyote lakin bado waliendeleza kuzuia mzigo wang usipite, nikajiongeza fasta nikawa kama naongea na sim flan kama napokea maelekezo pale na nilipomaliza kuongea na sim nilichofanya ni kutoa kadi ya chama tuu bila kutia neno lolote na hapo hapo nikaruhusiwa niendelee na safar na huk jamaa wanasema kama kunilaum "Ungesema mapema boss"' pole sana kw usumbufu na tusamehe mno.( hii ilikuwa awamu iliyopita) nikabak najisemea kama nchi tuko pabaya sana.
Lakin ndio nchi yetu hii so sishangai sana namna wanavyoingia kwa kasi kuutaka uchair wa chama maana wanalinda maslai yao. Kazi za ualim, utendaji na huko majeshin acha tujae sisi wa Lyamba lya mfipa
Lakin ndio nchi yetu hii so sishangai sana namna wanavyoingia kwa kasi kuutaka uchair wa chama maana wanalinda maslai yao. Kazi za ualim, utendaji na huko majeshin acha tujae sisi wa Lyamba lya mfipa