25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Hakuna Katazo kwenye katiba la waidi waarabu kujiunga jeshini hau kazi yoyote sema hawataki hata mimi ingawa kwangu kukavu mwanangu bora akafuge kuku kuliko hizo kaziHawataki kuchanganyika na watu weusi mahala popote unless ni taasisi yao Wahindi, mmiliki Mhindi, mabosi Wahindi. Agha Khan Hospital, The Indian Bank etc. etc.
But it is all the better.
China hakuna mjeshi Mwarabu, na India hakuna mjeshi Mrusi. Na Burkina Faso hakuna mjeshi Mmarekani.
Jeshi letu ni la wazawa weusi. Bendera ya Tanzania inasema hii ni nchi ya watu weusi.
Tusitamani kuchangamana na watu ambao wanatuona sisi kama tambara la kupigia deki.