Kukosekana kwa Watanzania wenye asili ya Asia kwenye majeshi yetu kunasababishwa na nini?

Kukosekana kwa Watanzania wenye asili ya Asia kwenye majeshi yetu kunasababishwa na nini?

Akitokea mhindi kaenda depo anakua mng'ao kila demo wanamtoa yeye
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Je ni muhimu sana wakiwepo kwenye majeshi? Kuna upungufu wowote wasipoenda...
Hapana, kuwepo au kutokuwepo kwenye majeshi yetu sio issue
Bali serikali kama ingetaka waingie wangeingia sio tu utajiri wao

Kilikuwa na mkuu wa police msomali huko Shinyanga kama sikosei yaani ni.wa kuhesabu, mmoja katika milioni

Kweli wana biashara zao lakini pia hatuwajali kama ni wenzetu.

Angalia Kenya kwa mfano wasomali wameshika post kubwa kubwa nchi nzima.

Labda kwa kuwa wana mikoa yao pia ila hawakushindwa kufanya biashara
 
Nyerere hakuwa mbaguzi
Kulikuwa na mpaka ma dc wazungu
Ukienda sekta ya mahakama walikuwepo wahindi,waarabu huko

Ova
Ni kweli kabisa mkuu au labda kwa sababu walikuwa kwenye serikali ya ukoloni pia na wakapata ajira humo humo
Kina Bryson na Amir Jamal nawakumbuka nilikuwa shule wakati huo
 
Hawataki kuchanganyika na watu weusi mahala popote unless ni taasisi yao Wahindi, mmiliki Mhindi, mabosi Wahindi. Agha Khan Hospital, The Indian Bank etc. etc.

But it is all the better.

China hakuna mjeshi Mwarabu, na India hakuna mjeshi Mrusi. Na Burkina Faso hakuna mjeshi Mmarekani.

Jeshi letu ni la wazawa weusi. Bendera ya Tanzania inasema hii ni nchi ya watu weusi.

Tusitamani kuchangamana na watu ambao wanatuona sisi kama tambara la kupigia deki.
 
Hi?
Nimekuwa nikijiuliza bila ya kupata majibu hivi hawa watanzania wenzetu wenye asili ya Arabu na India mbona siwaoni jeshini sio Tz bara wala visiwani.
Hao ni wafanya biashara wawekezaji kazi ya majeshi sio mchezo hakuna hapana huko wa maoni mp akisema kasema
 
Hao hatuna imani nao, na vile vile ukienda Arabuni au India huwezi kuta mtu mweusi typical anahudumu kwenye majeshi yao.

Ni Marekani tu ndo ina kila race kwenye jeshi lake.
Hakuna katozo sema hawataki hawana njaa biashara zao zinawatosha
 
Hi?
Nimekuwa nikijiuliza bila ya kupata majibu hivi hawa watanzania wenzetu wenye asili ya Arabu na India mbona siwaoni jeshini sio Tz bara wala visiwani.
Wakuda kinyama hiyo jamiii.. bora wazungu, hiyo jamii wana damu ya usariti
 
Kama serikali haihamasishi kuwafanya kuwa ni wenzetu basi nao hawawezi kujipendekeza

Tukiwa shule walikuwa wanaimba nyimbo na sisi wanacheza ngoma za asili ila baadae wakaona serikali haina time nao...
Hakuna alie watenga hawataki tu biashara zao zinawatosha
 
Hapana, kuwepo au kutokuwepo kwenye majeshi yetu sio issue
Bali serikali kama ingetaka waingie wangeingia sio tu utajiri wao

Kilikuwa na mkuu wa police msomali huko Shinyanga kama sikosei yaani ni.wa kuhesabu, mmoja katika milioni

Kweli wana biashara zao lakini pia hatuwajali kama ni wenzetu.

Angalia Kenya kwa mfano wasomali wameshika post kubwa kubwa nchi nzima.

Labda kwa kuwa wana mikoa yao pia ila hawakushindwa kufanya biashara
Msomali utamlinganisha na muarabu kiuchumi?
 
Hata sisi wabantu, familia Bora huenda Jeshini?
Babako awe na maradi mizuli ukaajiriwe jeshini?au mwalimu labda ubunge uwaziri ukurugenzi mkuu wa mkoa hili ulinde kampuni za babako sio mshahara
 
Back
Top Bottom