Kuku aina ya Kenbro


Mkuu sina wakubwa wapo vifaranga tu. Kama unataka wa huo umuri unatakiwa usubiri mkuu.
Na mimi naona bora mtu achukue wadogo aanze nao,
 
Chasha funguka pia kuhusu hawa Dorep. Tuwekee hata picha tuwaone na pia sema kidogo on bei zao kwa size na ukubwa mbalimbali. Tunasubiri.
Mkuu Dorep ni kuku wa kienyeji walio crosiwa na breed kutoka uturuki, na kwa sasa ndo mayai yake yako kwenye mashine, Dorep nitaanza kuwauza baadae, ila KENBRO ndo wanapatikana.
Hawa Dorep mkuu kidogo wanataka msosi na wanamaumbo makubwa sana hasa majogoo, pamoja na mayai yake,
Na ukiweza kuwafuga wote wawil kenbro na Dorep unakua ndo mwisho wa umasikini,
Jogoo mfano wa Dorep na Kenbro unaweza wauza bei unayo taka mkuuu
 

Hai wote Dorep na Kenbro wanauwezo wa kuatamia na kuangua vifaranga?
 

AGALIZO Isije ikawa kama wale KUCHI watoka K
 
nami ningependa nipate vifaranga wa kenbro kama arobaini au kama mayai nitapata.
 
nami ningependa nipate vifaranga wa kenbro kama arobaini au kama mayai nitapata.

mkuu unaweza pata vifaranga kwa Oda lakini, Mayai bado ila yatakapo kuwepo nitawainform but not now,
 
Kwa wanao Fuga Kuku wa aina yoyote ile hata wa kisasa, Kuna some time soko huwa lina sumbua sana, kwenye kuuza Kuku, Kitu ambacho unaweza kufanya ni kuamua kuwongezea thamani Kuku wako, hii inaweza kuwa advantage kwa walioko Mijini lakini,

Unaweza amua ukateneneza mgahwa wako safi kabisa na ukajikita kwenye kuuza kuku tu, Ukiwemo, Kuchoma, Kukaanga, Wakupika na Supu ya kuku, Hii inaweza kuku idia sana, kupunguza tatizo la soko,

Hii sehemu yako unaweza amua kujikita na kuku tu so unaspcelize kwenye kuku tu, na sehemu yako itatambulika kama sehemu ya kuuza kula kuku, hii inaweza kuwa advantage kwako kwa sababu unaweza uza bei tofati nawengine,

So Hii ni Moja ya Market strategies nanext time nitawaeleza njia ningine ya Kudili na Masoko na hii si kwa kuku tu hata kama unafuga Mbuzi au Nguruwe
 

wakiwa tayari nami nijulishe nipo arusha 0714554761
 
Nashukuru kwa tangazo, yaani anatutamanisha hasa, LiverpoolFC tutasubiria akianza utaratibu wa kuwaleta huku Dar au tukiungana na kushare cost itakuwa poa.
Chasha

Mkubwa usinisahau hapa town! NtakuPM muda kwa ajili ya mawasiliano zaidi.
Hapa mambo karibia yanaanza!
Kubota
asigwa
Mama Joe
Mama timmy
Huku kunatuhusu! Mpatapo chanzi leteni mawazo yenu hapa.
 
Habari wakuu? nilisafiri kidogo na nilikuwa sehemu ambao huwezi pata network, maelezo mengine kwa hawa kuku wa Kenbro na Dore ni kwamba kama tulivyo zoea kuku waKienyeji mittea 10 jogoo mmoja, kwa Dorep ni kwamba mitetea minne hadi 5 Jogoo mmoja, hwa Dorep ukiwawekea jogoo mmoa mitetea 10 ni kwamba huyo jogoo anaweza kufa na hakuna atakacho kifanya kwa sababu ni mitetea ni Wakubwa mno, ni the same kwa Kenbro,

Na Kwa mayai a Dorep ni vizuri mtu akatumia Incubators kuatamisha make ukimuwekea kuku basi muwekee 5 make kuku hushindwa kuyatamia vyema kwa sababuya ukubwa wake,
 
Mkubwa mambo vipi???????????? Uko mji huu huu kweli?????????

Tutafutane Mkubwa!
 
Tutafutane Mkubwa wetu!!!!!

Mambo ya upweke hayamati Mkubwa wangu!
 

Mkuu nikitaka mayai kwa ajili ya kuyaweka kwenye incubator nitayapataje?
 
Chasha si bora ukae nao wakue kidogo hata ukiongeza bei si mbaya maana kakiwa kadogo matunzo mmmh si kanaweza kufa?
 

Duu ila Majogoo huwa yanafaidi sana aiseee
 
Wakuu sory nilikua mbali, vifaranga walisha anza kutoka na baadhi watachukuliwa. Na DOREP watakuwepo ingawa ni kwa uchache, hawa DOREP vifaranga wao wa siku moja unaweza zani wana wiki mbili, ni wakubwa mno,
Nilifuatilia mayai ya SUPER CHICKS NA SASSO that is why.
 

Well done Chasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…