CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #61
Ya mkuu hawa Dorep majike ni wakubwa sana so ni lazima jogoo mmoja mitetea watano, mitetea hawa wana kuwa na 5 Kg huku bwana zao wakiwa na hadi 8 kgDuu ila Majogoo huwa yanafaidi sana aiseee
Ya mkuu hawa Dorep majike ni wakubwa sana so ni lazima jogoo mmoja mitetea watano, mitetea hawa wana kuwa na 5 Kg huku bwana zao wakiwa na hadi 8 kg
Hao mkuu ukiuza wazima wazima unakula hasara inabidi uwe unawaprocess na kuwaza kwa kilo
Mkuu Shetan nashukuru, Tehe tehe, I ma just kiding
Mkuu ni kweli hawa dorep hata Kenya ni wachache sana, Kenbro ndo wapo, ila kwa Dorep na Super chicks ni wachache sana, Kuhusu kutaga mapacha ni kwelisema sikugusia hapa ila ukipsua mayai yake mengi utakuta viin viwil na kw yaliyo totolewa kuna mayai mengi yalikuwa na pacha, so kweli kuhusu pacha, na kingene kwa hawa Dorep ni kwamba vifaranga wakitotolewa siku ya kwanza nzima huwa kusimama ni shida sana hivyo hushinda wakiwa wamelela, ni mpaka siku ya pili ndo wanakuwa wanasimama vyema, na sababu ni uzito make vifaranga wa day moja unaweza sema wana wiki
kuhusu oda nitafanyia kazi ingawa nina oda nyingi make kuna mheshimiwa mmoja ameoda hawa Dorep na Kenbro wengi sana hivyo inakuwa kazi sana.
Hao Superchick ndo wanatimiza miaka miwili na kweli Demand yake ni kubwa na kuna jamu sana, kuna Dada mmoja anafuga aliniambia ameoda january hadi leo hajapata, wazalishaji wanalemewa sana na pamoja na kuongeza incubator kubwa kabisa lakini haijasaidia kitu
Mwisho hawa kuku Dorep na Kenbro na labda super chick watakuwepo nanenane hivyo ukitaka kuwona live unakaribishwa hapo na nimeona PM yako na nafanyia kazi asante
Mkuu hongera kwa juhudi zako ila hiyo foleni imeanza kututisha sasa jipange kuongeza incubators mkuu ukawa ndo supplier mkubwa wa hawa kuku hapa nchini keep the fight bro umeshapiga hatua kubwa sana hadi hapo
Habari mkuu.
hivi nikiweka oder ya hao vifaranga leo au kesho je nitavipata lini?
Mkuu pamoja sana, Tatizo ni hii gavament yetu, Kuna kuku nilipata South Africa ambao ni hybreed, hao kuku ni mwisho wa matatizo, na jamaa walikuwabali hata kutuma vifaranga 100 tu kwa ndege, ila Wizara yetu kutoa kibali ndo mziki, full usanii,
Hawa ndo kuku aina ya Koekoeks jamaa walisha nitumia hadi PI ila wizarani wanaweka usiku
kilichopo ni kukomaa wenyewe no way out,
Ni from south kwa Mandera, kule wana mbegu za kuku za kufa mtu. Na kuna hao jamaa walinitumia hadi Proformer Invoice ya vifaranga na mayai,ila wizara inaleta usiku, but sijakata tamaa bado na fightChasha na hawa vipi? Ni mejaribu kuwa google naona ni wazuri mno.
This is wonderful kama uko unaweza ku keep Kenbro and dorep the best an leading breeds huku kwetu ni kwa ajabu iko, ni mzuri sana,most of Kenyans wana prefer hawa breeds dorep and kenbro na currently super chicks from KARI an improved indigenous breed na huyu guy yuko na mjanja sana kuweza ku keep hawa breeds kwa kwenu.Wafugaji wa poultry mwengi kwa sasa wako wana fuga hizo breeds tatu ila kuko na scarcity ya Super chicks au improved indigenous ya KARI bado kuwa mwingi kwa keepers hii ni mzuri sana kwa eggs yuko ana taga more eggs kuliko layers , niko county ya Kajado na uko unaweza nitumia email yako ili kama unakuja kwa Nairobi tuweze kuwasiliana tuone vile tunaweza fanya.
Very nice, ni kweli unacho sema kwa Kenbro na Dorep, ila kwa sasa nafuatilia hao improved indigenous chicks na nimepata kaa 7 trays ambayo yanatosha kabisa, kwa mbegu huku kwetu, ni kweli kuna shida sana kupata na wapo wanao uza fake wanasema ni mayai ya hao kuku, so ni lazima kwenda kwenye kituo moja kwa moja, nilifanikia kuwaona hao kuku nilipo kuwa Naivasha ni wazuri sana hasa kwa mayai, Nitakutafuta this week mwishoni au next week, ok