Kaka nilikuomba na nikaweka order but hata jibu sikupata.
Nilitaka 20 kenbro na dorep 10
Wakuu nazani Mambo yanenda Vizuri, nilikuwa huko Magharibi mwa Kenya, kwa kweli wenzetu Marketing strategies zao ziko juu sana, jamaa wana marketing strategies ambazo sijawahi ziona huku Kwetu kabisa, hivyo tunapaswa kubadilika kabisa tuko nyuma ya wakati
Nyumbulika mkuu kuhusu hizo Marketing strategies what and how are they doing?
Tehe tehe, mkuu nitaku PM
Sasa kiongozi na mimi nikihitaji kujua hizo strategies utani Pm na Yule naye akihitaji utam PM, na yule mwingine, na yule, na yule!! huoni kwamba hilo litakuwa ni tatizo? kwa nini usibandike hapa kwa faida ya wote?
Tehe tehe, mkuu nitaku PM
Sijapata PM bado mkuu
Mkuu ngoja nifanyie kazi nitaku PM Usijali
Mimi ninao Korongo wa Malawi,mienzi mine jogooo linakuwa mpaka kili tatu. Nipo Mbeya kwa watakao wahitaji wani pm...........
kaka mambo vp? Bado naulizia ile order yangu,japo ni ndogo.
Kaka kwangu hakuna umeme mpaka next year,niko kwenye ujenzi...... Sasa ntawatunzaje hao chicks? Thus why nataka kidogo baadae ni kiweka umeme niagize wengi,