cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,419
Nitajitahidi sana,sipendi vya kukaanga sana ata chips napenda ku bakeHahahahaa! Kumbe mume ndo huwa anaharibu eeh...
Ila kama unapenda kutumia oven kuoka, ni muhimu uka maintain usafi wake.
Hususan kama kuna mafuta mafuta yemedondoka au yamechuruzika. Huwa hazikawii kutoa moshi.
Na moshi ukishaanza, smoke detector nazo zinaanza. Huwa zinanikera sana hizo detector...zina kelele mno [i guess lengo lake ni zuri, hata hivyo]