Kuku wa kuoka pamoja na mboga mboga

Nitajitahidi sana,sipendi vya kukaanga sana ata chips napenda ku bake
 
Safi!

Vya kuoka vina mafuta machache sana.

Vya kukaangwa vina mafuta tele!

Mimi hata samaki [napendelea tilapia] huwa naoka kwenye oven...
Same to us,sato wa foil afu umtie rosemary,garlic,ginger and lemon na mboga mboga au siku nyingine anakuwa steamed 😋😋
 
Huyu ni foodie kabisa,alivo anajipenda wali wake anapika old school kwenye jiko sio kama sie tunapika kwenye rice cooker majukumu mengi.

Hahahaaa rice cooker ilishanishinda aisee.

Najua ninayo nyumbani lakini iko kwenye garage huko inakusanya vumbi tu!
 
Mimi mwenyewe huwa napenda sana kukorofisha, kipindi flani uzito ukawa juu sana hadi kupelekea presha, siku hizi afadhali kidogo baada ya kufuata masharti

Yaelekea hufanyi mazoezi eh? Au ulizembea tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…