Wazungu tayari wametupata. Wanajua Ujinga wetu. Najua hao kuku unawafurahia ksbb wanakupa faida. Lakini sisi Waafrica asili yetu ni kuku wa kienyeji pure. Tumeachana na hivyo tunakimbilia tunavyotengenezewa maabara na wazungu. Nia yao watumia chakula kama siraha ya maangamizi kwa mwafrica.
1. Zamani ilikuwa tukipanda mahindi punje moja inatoa mhindi mmoja wenye punje nyingi. Ule mhindi unapukuchuliwa kutoa mahindi mengi. Unachagua ktk mahindi yako unaweka ya mbegu. Wazungu wakagundua huko tunaweza kupitisha siraha ya maangamizi. Wakaleta mahindi ya maabara. Punje moja ya mhindi inaenda kutoa mahindi hata ma3 kwenye shina moja. Ujinga wetu tukaacha mbegu zetu za asili tukaingia upate mengi. Yale yaliyowekwa genetics za kuua taratibu kwa njia mbalimbali.
Hayo mahindi huwwezi kuyarudisha tena shambani mpaka ukanunue tena mbegu zingine ambazo ni mpya,zimewekwa genestic mpya. Ili siraha iwe mpya kila wakati.
2. Iko kwenye miti ya matunda pia kama maembe n.k
3. Kwenye mifugo pia. Wanatuondolea taratibu vyote vya asili wanatuletea vilivyopandikizwa genestic za kuua. Ksbb wanajua Ujinga wetu wakatumia njia hiyo kuboresha hiyo mifugo kutudanganya tuingie mazima. Kama ni ng'ombe wa maziwa wa kienyeji anatoa lita 2 kwa siku wenyewe wakamfanya wa kwao atoe lita 8. Kama mwembe unazaa miaka miwili toka upande.
Hivyo hivyo kwenye kuku.
Kuathirika kwetu Waafrica kupo kwenye magonjwa siku hizi ni mengi sana. Hata kwa vijana wadogo wanaumwa magonjwa ya watu wazima. Tofauti na wazungu. Pia wazungu wanafariki kuanzia miaka 80. Sisi kuanzia 50 hapo.
Kifupi wametupata