Kuku wangu 1 anataga mayai 3-4 ndani ya masaa24!

Au kusema jogoo ametaga baada ya kukuta kijiyai kidogo...😅😅
 
Acha ujima, hakuna mwenye nia ya kukuuua
 
Ahsantee mkuu ila mimi naona Kuna shida kwenye huyu kuku. Maana sio kawaida na sijawahi ona hili
 
Watu kama ni hasara tupu ukute nawewe unatongozwa family inakutegea!! Mavi kabisa.
Mimi nimekuja hapa kucheki nawataalamu waniambie hii imekaaje maana tangu nianze kufuga kuku iwe kienyeji au Hawa chotara huu ni mwka wa11 lakini sijawahi ona hili.

Nimeeleza wazi kuwa kuku huyu usiku anataga mayai 2 na yote ni tepetepe gamba sio gumu nikakuwekea na picha hapo ya mayai hayo mawili lkn akiri mavi Bado unajiona una akiri. Kama hujawahi sikia Wala kuona basi Leo umesikia na huwezi badiri kitu katika uhalisia na Leo amekuja bwana mifugo nae kasema Bado hajawahi ona kayaona mayai yote Kwa macho yake yaliyotagwa usiku.

Kashauri nimpe DCP ama chokaa au mifupa nk

Kwa chini ndo mayai yanayo tagwa usiku sio imara
 

Attachments

  • IMG_20240529_061726_480.jpg
    115.9 KB · Views: 19
INGIA GOOGLE MKUU UPATE UPDATE ZA KUTOSHA AU NENDA KWA WATAALAM WA MIFUGO WATAKUSAIDIA HILO
Yeah nilimuita mtaalamu wangu nae kashangaa Tena usiku wa leo kataga Moja ambalo kidogo gamba lake ni gumu lakini lile jingine tumekuta tiyari nimevunjika tukaona kiini. Kanishauri nifanye vitu kadhaa ..
 
Habari ya asubuhi mkuu?.

Huyo kuku mfanyie wepesi awe na self care hadi chakula, yaani mpe tip yake kwa uzazi huo mkuu, angalau pumba ziwe na dagaa wa maji chumvi walichanganhwa bila yale madawa yenu ya mifugo.
Salama mkuu ukweli uduvi anapata mara Moja Moja sana pumba ndo Kila siku na mabaki ya jikoni Kwa wingi
 
Mbona kuku huyu anafugwa kienyeji tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…