Mkuu angalia shida inaweza kuwa hapa kwenye msosi! 88kg hiyo ni 8800g ÷1000 = 88g per bird. Kwa umri huo na kwamba wanatakiwa watage hicho chakula hakitoshelezi mahitaji. Hapo walitakiwa wapate layer's mash kwa 110-120g, maji pia yawepo ya kutosha. Chakula kwanza unawapa cha aina gani isijekuwa unaendelea kuwachochea grower's mash!nawalisha kg 88 kwa siku
Naona jamaa yetu amelishwa desa la motivational speakers akahama nalo kama lilivyo! Naona atakuwa anaenda anafuata wiki ya 16, wiki ya 17, wiki ya 18.... humo mwote wameweka kiasi cha chakula na ndivyo anafanya maana 88kg kwenye desa iko wiki ya 18 kama sikosei. Hao sasa hivi wanaingia kwenye production hivyo watahitaji protein nyingi hivyo msosi balanced lazima uwe wa kutosha.unawabania chakula hao wanapaswa kula gm120 kila moja sawa na kg 120 kwahiyo idadi ya kuku 1000
ukifanya mchezo watanza kudonoana
wazee wa kudanganywa eti kulisha kuku mafunza yanaweza kupunguza gharama za ulishaji na kujizolea faida kubwa kwa kuwapa kuku mafunza pekeeNaona jamaa yetu amelishwa desa la motivational speakers akahama nalo kama lilivyo! Naona atakuwa anaenda anafuata wiki ya 16, wiki ya 17, wiki ya 18.... humo mwote wameweka kiasi cha chakula na ndivyo anafanya maana 88kg kwenye desa iko wiki ya 18 kama sikosei. Hao sasa hivi wanaingia kwenye production hivyo watahitaji protein nyingi hivyo msosi balanced lazima uwe wa kutosha.
Vitabu vingi vinasema kuku wataanza kutaga wiki ya 18, lakini kiuhalisia kwenye groundi ni wiki ya 21 ndiyo wanaanza - sababu ni nyingi pia inategemea na mbegu.Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.
kuku anataga bila jogoo ni kama anaingia periodi tuhTupia humo bandani majogoo ya kienyeji kama 15 hv wenye kiu ya kuwatia tia, watafurahi sana na kuanza kutaga
Kuku wa kisasa au chotara?Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.
Eggy buster ni kwa wale kuku wambao wameshataga sana sasa unataka ku boost production..achana na hiyo mzee.Ndio nimeanza kuwapa Leo.
aongeze chakula hao kuku huanza kutaga baada ya miezi nne wakichelewa 5 mzembe kabisa ni miezi sita kuendeleaVitabu vingi vinasema kuku wataanza kutaga wiki ya 18, lakini kiuhalisia kwenye groundi ni wiki ya 21 ndiyo wanaanza - sababu ni nyingi pia inategemea na mbegu.
So mzee shusha pumzi - endelea kuwapa chakula ila hakikisha kina protein ya kutosha.
Kwa maisha yalivyo magumu watakuwa wameambiana watumie uzazi wa mpango unajua hivi viumbe vinatusikia na kujua kabisa tunachofanya na nia yetu kwao...Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.
Mkuu, kuku 1 hadi kafikia hapo thamani yake ni 30,000.Chinja wote, alika ndugu jamaa na marafiki kuleni nyama iwe fundisho kwa kuku wengine kutekeleza majukumu yao.
Week ya 18 nachanganya grower na layers, week 19 ndio ntaanza kuwapa layer mash tupu,kuku hapewi chakula kulingana na umri tu pia uzito nijambo la msingi. Na hawa layers ukiwapa chakula kingi zaidi ya mahitaji yao wakinenepa sana hawatagi. Uzito walionao nisawa kabisa na umri wao.Mkuu angalia shida inaweza kuwa hapa kwenye msosi! 88kg hiyo ni 8800g ÷1000 = 88g per bird. Kwa umri huo na kwamba wanatakiwa watage hicho chakula hakitoshelezi mahitaji. Hapo walitakiwa wapate layer's mash kwa 110-120g, maji pia yawepo ya kutosha. Chakula kwanza unawapa cha aina gani isijekuwa unaendelea kuwachochea grower's mash!
Kwa umri walionao na uzito wao vinaendana. Wakinenepeana sana hawatagi pia.aongeze chakula hao kuku huanza kutaga baada ya miezi nne wakichelewa 5 mzembe kabisa ni miezi sita kuendelea
Kuendelea kukaa nao ni hasara zaidi mkuu.Mkuu, kuku 1 hadi kafikia hapo thamani yake ni 30,000.
Jamaa katumia hela nyingi mno mno kwa kuku 1000.
Kawalisha kwa muda ya miezi 4 nanwiki mbiki sasa, wale kila siku wanakula mifuko 2 na nusu approx 150,000 per day
Kuku wa kisasa ndio layers. Hawa sio chotara, silver landKuku wa kisasa au chotara?
Wanakula chakula layers feed? Ya ni ya kampuni gani?
Ok sawa mkuu.Kama ulichukua Silver land kuna batch kuku wanachelewa kutaga kidogo kuna wale wanaenda hadi miezi saba kasoro. Usiwe na Pressure ndugu mfugaji. Endelea kuwahudumia vile vile alafu issue ya kuboost mayai wakati hawajanza kutaga itakuja kupa shida siku za mbeleni.
Hongera sana kwa kuku 1000.hawa wakianza kutaga utaenjoy sana sana. Hiyo M 16 utaona sio kitu. Ufugaji wa Kuku hawa wa mayai unalipa sana endapo matunzo stahiki yatazingatiwa.
Kudos.