RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
- Thread starter
-
- #101
Ondoa hofu wameanza kutaga, juzi yai Moja, Jana manne, Leo nimeokota pia na ndio week ya 19 hii . Nadhani kufikia week ya 21 karibia wote watakua wanataga.May be kwenye checklist yako kuna jambo halipo sawa,otherwise wape daktari wa kuku wakupe msaada.
Ni swala la muda tu Mkuu wala usiwaze.Ondoa hofu wameanza kutaga, juzi yai Moja, Jana manne, Leo nimeokota pia na ndio week ya 19 hii . Nadhani kufikia week ya 21 karibia wote watakua wanataga.
Mkuu, kuku 1 hadi kafikia hapo thamani yake ni 30,000.
Jamaa katumia hela nyingi mno mno kwa kuku 1000.
Kawalisha kwa muda ya miezi 4 nanwiki mbiki sasa, wale kila siku wanakula mifuko 2 na nusu approx 150,000 per day
Hujakata midomo? PoleDigestive cruide protein kwenye chakula Cha Silverland hawashauri uongezee wanasema ipo tayari, hata kuwakata midomo week ya 15/16 walinikatalia.
MkuuMkuu angalia shida inaweza kuwa hapa kwenye msosi! 88kg hiyo ni 8800g ÷1000 = 88g per bird. Kwa umri huo na kwamba wanatakiwa watage hicho chakula hakitoshelezi mahitaji. Hapo walitakiwa wapate layer's mash kwa 110-120g, maji pia yawepo ya kutosha. Chakula kwanza unawapa cha aina gani isijekuwa unaendelea kuwachochea grower's mash!
Mpaka kufikia Jana, nimeokota mayai 375. Ingawa Leo wametimiza week ya 22.Mkuu lete mrejesho wa maendeleo kwenye mradi wako .
Ndio sijakata.Hujakata midomo? Pole
Achana na hiyo biashara utakuwa na akili kama ya kuku....hivyo biashara ni nzuri kufanywa na makampuni ya ufugaji siyo mtu binafsi na kama ni mtu binafsi basi isiwe ni chanzo chako kikuu cha mapato bali chanzo cha pili au cha tatu cha mapato.Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.
Sasa mkuu unajuaje kama sio chanzo cha pili au cha tatu Cha mapato?. Unaweza ukafuga kuku 1000, ukiwa huna chanzo cha kwanza cha mapato?. Utatoa wapi sasa pesa yakuendeshea mradi ?.Achana na hiyo biashara utakuwa na akili kama ya kuku....hivyo biashara ni nzuri kufanywa na makampuni ya ufugaji siyo mtu binafsi na kama ni mtu binafsi basi isiwe ni chanzo chako kikuu cha mapato bali chanzo cha pili au cha tatu cha mapato.
Ndio wanataga, kazi yajogoo nikulifanya yai liwe na mbegu.Swali la ufahamu kuku anaweza kutaga bila kupandwa na jogoo?
Soma tena nilicho andika kwa kutumia akili ...nimesema kama ni chanzo chako cha kwanza sikusema ni chanzo cha kwanza ..kwani mimi nakujua ?pia nimasema ufugaji unafaa zaidi wawekezaji wakubwa ndiyo unakuwa na tijaSasa mkuu unajuaje kama sio chanzo cha pili au cha tatu Cha mapato?. Unaweza ukafuga kuku 1000, ukiwa huna chanzo cha kwanza cha mapato?. Utatoa wapi sasa pesa yakuendeshea mradi ?.
Halafu unapozungumzia makampuni binafsi, unajuaje malengo yangu hapo baadae ni yapi?. Tuache kukatishana tamaa, kama naweza tupa/wekeza zaidi ya mil 30 kwenye kuku basi tambua namalengo mengi hawa kuku 1000 sio kwanza kuanza kufuga, nilianza na sasso wa nyama ambao walikua zaidi ya 300 na niliwafuga kama sehemu yakujifunza kwa vitendo. Baadae ndio nikachukua Hawa 1000.
Tusikatishane tamaa.
Sio ufugaji tu, Kila biashara inahitaji wawekezaji wakubwa ndio inakua na tija.Soma tena nilicho andika kwa kutumia akili ...nimesema kama ni chanzo chako cha kwanza sikusema ni chanzo cha kwanza ..kwani mimi nakujua ?pia nimasema ufugaji unafaa zaidi wawekezaji wakubwa ndiyo unakuwa na tija
Kwenye ufugaji ni zaidi vinginevyo utakuwa unapoteza muda bure .Sio ufugaji tu, Kila biashara inahitaji wawekezaji wakubwa ndio inakua na tija.
Ngoja Niendelee kupoteza.K
Kwenye ufugaji ni zaidi vinginevyo utakuwa unapoteza muda bure .
Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.