RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
- Thread starter
-
- #121
Mkuu wanatoa mpaka sasa wanaotaga ni 70% . Nikiwa na maana kuku 700 wanataga perday. Na week hii ni ya 23. Mpaka kufikia week ya 24 naamini wote watakua wanataga.Usikate tamaa mkuu watatoa tena vizuri
Duuh mtazamo wako hauna afya kabisaAchana na hiyo biashara utakuwa na akili kama ya kuku....hivyo biashara ni nzuri kufanywa na makampuni ya ufugaji siyo mtu binafsi na kama ni mtu binafsi basi isiwe ni chanzo chako kikuu cha mapato bali chanzo cha pili au cha tatu cha mapato.
naomba unielimishe jambo labda mimi natumia uzoefu wa zamaniEgg booster umetumia
Mkuu amini humu napo wapumbavu wapo.Duuh mtazamo wako hauna afya kabisa
Nasubiria majibu na mm pia, kwa uzoefu nilionao ni kama wako tu na madaktari wa mifugo kutoka interchick walikuwa wanatushauri hivi japo ni zamani kidogonaomba unielimishe jambo labda mimi natumia uzoefu wa zamani
kawaida kuku wa layers anaanza kutaga week 19-23/24
egg booster anapewa layers ambaye ana umri mkubwa kidogo mfano 2+yrs ambaye utagaji umepungua
niko sawa au elimu yangu outdated!
Bila tatizo lolote, Nimefuga kwa muda mrefu kuku wa kienyeji na wa mayai na kanga kwa muda mrefu, wanataga bila tatizo ila yai lake nadhan haliwezi kutotolewa. Nina kanga majike wawili ambao huwa wanataga bila kanga dume na mayai yao tumekuwa tunayatumia hapa nyumbani kama kitoweoSwali la ufahamu kuku anaweza kutaga bila kupandwa na jogoo?
Mkuu mpaka sasa zaidi ya 70% wanataga, wapo week ya 23.Naamini mpaka kufikia week ya 24 wote watakua wanataga.Bado ni mapema sana ndugu, Kuku huanza kutaga wiki ya 20-24, ambao kiwastani ni miezi mitano hadi sita.
Nimefanya hiyo biashara japo zamani kidogo na vifaranga nilikuwa nachukua interchick, wastani wa kuku kutaga ni miezi sita na mpaka kufikia wa saba hadi nane wanakuwa wameshachanganya sana, endelea kuwalisha kwa kiwango stahiki huku pia ukiwapa na majani ya kutosha kama inawezekana.
Egg boost nadhani ungewapa baada ya kuanza kutaga, nadhani si vizuri kuwapa Egg boost kabla ya kuanza kutanga japo ni kwa uzoefu wangu tu na sio kitaalamu.
Mambo vipi Ndugu...Mkuu mpaka sasa zaidi ya 70% wanataga, wapo week ya 23.Naamini mpaka kufikia week ya 24 wote watakua wanataga.
Kwangu wametaga week ya 19 ndio walindodondosha yai la kwanza tare 20 ya mwezi wa 11. Hawajachelewa maana kuku anatakiwa kutaga kwenye week ya 18 mpaka 19 . Ingawa wauzaji wengi wa vifaranga husema week ya 18 lakini kiuhalisia nikuanzia week ya 18 mpaka 20 kuku wanakua wametaga kwenye muda husika maana wanakua ndio wamefikisha miezi 5.Mambo vipi Ndugu...
Wengi tumekua wasomaji na Tumejifunza mengi Kupitia Uzi huu....
Tunaamini Kupitia Safari Yako Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwako Mimi nilikua na maswali Machache tu...
👉Umejifunza Nini Kupitia Safari Yako hii yaani ni sababu zipi zimechangia kuchelewa kama ulivyodai mwanzo...???
👉Ni kitu Gani Unaweza kutushauri sisi tunaotaka kufuga Kuku Wa Mayai kama Wewe...???
Usipoteze muda kujibu watu kama hawaNgoja Niendelee kupoteza.
Umetupa mwanga na wengine, tunaotamani kufanya ufugaji huu.Kwangu wametaga week ya 19 ndio walindodondosha yai la kwanza tare 20 ya mwezi wa 11. Hawajachelewa maana kuku anatakiwa kutaga kwenye week ya 18 mpaka 19 . Ingawa wauzaji wengi wa vifaranga husema week ya 18 lakini kiuhalisia nikuanzia week ya 18 mpaka 20 kuku wanakua wametaga kwenye muda husika maana wanakua ndio wamefikisha miezi 5.
Kama unahitaj kufuga kuku wa mayai hakikisha unafuga kulingana na kipato chako, kwa sababu kuhudumia kuku 200 au 300 nizaidi yakuhudumia familia yenye watu 8, kwahio inatakiwa ujipange na uwe na kipato cha uhakika.
Pia nivizur ukaanza na kuku wachache kwa lengo la kujifunza changamoto zake ufugaji, Lakini pia maandalizi ya uhakika ni jambo zuri.
Jambo lingine nivizuri zaidi ukipata formula nzuri ya utengenezaji chakula ingawa kwangu Mimi nanunua dukani lkn gharama zipo juu na inapunguza faida.
Kwa machache nihayo.
Ongeza vyombo vya chakula na maji, pia ingekua vizuri zaidi ungeacha sehemu ya upepo kupita upande wa kulia wa hii picha. Usisahau kuchanja chanjo ya Typhoid na Mafua, week ya 15 na 16.Mkuu me nakomaa na Hawa 200 week ya 13 sasaView attachment 3211988
Usibishane nae uyo ana bet stake zake zenyewe 500 akijitahidi sana 1000Sasa mkuu unajuaje kama sio chanzo cha pili au cha tatu Cha mapato?. Unaweza ukafuga kuku 1000, ukiwa huna chanzo cha kwanza cha mapato?. Utatoa wapi sasa pesa yakuendeshea mradi ?.
Halafu unapozungumzia makampuni binafsi, unajuaje malengo yangu hapo baadae ni yapi?. Tuache kukatishana tamaa, kama naweza tupa/wekeza zaidi ya mil 30 kwenye kuku basi tambua namalengo mengi hawa kuku 1000 sio kwanza kuanza kufuga, nilianza na sasso wa nyama ambao walikua zaidi ya 300 na niliwafuga kama sehemu yakujifunza kwa vitendo. Baadae ndio nikachukua Hawa 1000.
Tusikatishane tamaa.
26/29 nilifikia nikawa nakusanya hizo, lakini baada ya muda wakashuka mpaka 19 na hii nikwasabubu napochukua chakula nahisia walichakachua chakula, ilinibid nibadili kampuni ya chakula baada ya kubadili wamepanda Tena kwa sasa mpaka Jana nimekusanya 23.Mkuu kwa sasa unakusanya tray ngapi kwa siku?