Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mada zingine unasoma unaishia kucheka tu.
. Kwa comment yake ni dhahiri ametoka kapa.punguza ukali, mada inaeleweka na huyu kajazia nyama tu.
Nnaona unaongea kama Polepole ,niseme tu hakuna mshindi wala alie shindwa ktk kilicho fanywa na CCM chini ya Mwamvuli wa inayoitwa Serikali.
Naona umemsoma " between the lines"."sasa sijui kama kule kutopiga kura kuchagua nako ndiko kukubalika kwenyewe..."
Andiko lako lote Ukweli upo hapa .
Ha ha ha ! Kama kawaida yako kung'ata na kupuliza mkuu.sasa sijui kama kule kutopiga kura kuchagua nako ndiko kukubalika kwenyewe
Hivi Paskal nowdays unalipwa sh ngapi kuandika uharo mrefu kama huu!!?
Wakuu mmesoma uzi wote wa Pascal? Mbona yupo vizuri tu?Umeona eeeh yaani sio Pascal tunaemjua,sasa hivi amekua puppet mpaka anachekesha,njaa itamuua!kwakweli kuliko kuwa hivyo ni bora ajifunze kunyamaza!