Uchaguzi 2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

Uchaguzi 2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

Screenshot_2019-11-26-21-11-45-129_com.twitter.android.jpeg
 
KIBST,
Watanzania hawajawahi kupenda fujo. Nyerere asingeenda zungumza na wazungu huenda watanganyika wangewasubiri wazungu wajiondokee. Halafu hakuna sababu za msingi za waTz kuleta fujo sababu ya Mbunge aliyefungwa kwa kutofautiana na serikali.
 
kuna comment yako moja umeitoa kwenye thread ya mahojiano ya Polepole na mwandishi wa BBC..."Hawa ndio waandishi...na hiki ndio chombo cha habari. " mwisho wa kunukuu. wengine mnajijua mpo kundi gani...
 
Saddened. Sikutegemea uchambuzi wa aina hii kutoka kwako kaka Paskali (schoolmate). Anyhow yote maisha tu!!!
 
Yaani kwa kiwango chako cha uelewa unadiriki kuuita nu ushindi wa kishindo? Sawa tu, ila ujue washindi tupo mtaani tunawaangalia mnavyochezea tope.
 
Uzuri JIWE amependa kuongoza mawe kwani watu wanamwangalia tu asifikirie tumefurahia tuna machungu sana ila kuna siku hata mawe yataongea ndipo atakaposhangaa
 
Back
Top Bottom