Kukurupuka katika usajili kwa Simba na Yanga ni kiashiria kuwa tuna safari ndefu sana

Kwanza mleta mada hebu kwenye listi yako muondoe Larry Bwalya huyo ni habari nyingine kabisa utakuja kumuelewa vizuri siku zijazo kama tulivyokuja kumuelewa Fraga baadae sana . Kwa Mugalu Simba wamechemka kwa sababu tayari walikuwa na Meddi Kagere na Boko walipaswa kuleta mtu zaidi ya hao wawili. Mugalu ni mshambuliaji na tisa wa kizamani kabisa anayesubiri apenyezewe pasi halafu afunge lakini hawezi kukaba au kukokota mpira zaidi ya mita tano kuwafuata mabeki. Lakini Mugalu akiangaliana na kipa uso kwa uso mara tano lazima tatu ziwe goli. Kwa mpira wa kisasa ni ngumu sana kupata timu itakayoendana na aina yake ya uchezaji kwani sasa hivi mpira umekuwa vita na namba tisa wa sasa hivi wanaenda kushoto na kulia dakika zote tisini na wakati mwingine wanarudi mpaka kupita mstari wa katikati ili kusaidia ulinzi. Na mbaya zaidi mabeki siku huwa hawatoi nafasi kirahisi kwa mshambuiaji hata kugeuka kumtizama kipa wao basi ni shida tupu kwa aina ya mchezaji kama Mugalu hasa anapopangwa kama mshambuliaji wa mwisho peke yake.

Kwa Sarpong kwa kweli kila mtu kamuona na hata aliyemsajili sasa hivi atakuwa anaona aibu kabisa na wale waliombeba uwanja wa ndege sijui wana hali gani huko waliko. Kama Sarpong angekuwa mshambuliaji mzuri kwenye mechi ya juzi Mapinduzi Cup ingeisha kipindi cha kwanza wala isingefika kwenye matuta. Calinyo ni bonge la mchezaji ila anaonekana pancha nyingi sana lakini pia kwenye mechi na timu zinazotumia nguvu huwa anapata shida sana kutokana na umbile lake.

Kama kweli viongozi wa Simba na Yanga wangekuwa ni watu wa kuchukua maamuzi magumu nina hakika kwa Simba angeachwa Morison na Mugalu kwa upande wa Yanga Calinyo na Sarpong kwa sababu wanalipwa pesa nyingi lakini ni wafanyakazi hewa.

Hizi timu zitaendelea kupoteza pesa nyingi kwenye usajili kwa sababu hazitaki kuwa na timu za kufanya "scouting" badala yake viongozi wanakurupuka na mihemuko wakati wangeweza hata kuwatumia baadhi ya wachezaji wao waandamizi wa zamani na wengine ni makocha kwa sasa wakawasaidia hili zoezi kwa muda wakati wanatafuta wataalamu hasa wa "scouting" kama vilabu vikubwa vinavyoendeshwa kisasa vinavyofanya.

Faida kubwa ya kufanya "scouting" ni kuwa kwanza usajili unafanyika bila presha na pili utapata mchezaji mzuri kwa nafasi unayohitaji yenye mapungufu kwenye timu yako tena kwa bei rahisi kabisa kuliko sasa mchezaji akitakiwa na Simba na Yanga anasajiliwa kwa bei kubwa wakati uwezo wenyewe hana kulingana na pesa atakayopewa. Na viongozi wa sasa wa Simba na Yanga wanazidiwa kwenye suala la usajili na viongozi wa zamani japo hawakuwa wasomi wala hawakuwa na pesa sana lakini walikuwa wanawatumia wanachama wao wenye ufahamu na mpira kuwafuatilia wachezaji wanaowahitaji huko mikoani kisha wanaletwa Dar na kujiunga na hivi vilabu. Sio sasa hivi kila timu ya nje ikimaliza kucheza kesho utasikia mchezaji fulani anatakiwa na Simba na Yanga wakati mchezaji mwenyewe kacheza mechi moja tu hapa. Je kama siku hiyo kaamka vizuri ujue ndio Simba au Yanga kapata galasa hapo.
 
Mbali na hilo juzi nimesikitika sana team captain simba na yanga wote sio watanzania. Yani raha ya simba na yanga ilikuwa zamani.

Hata ukiwa mzee unasimulia mwaka 2021 tuliwafunga simba mapinduzi cup inaleta uhalisia sasa sijui media zetu huko baadae zitakuwa zinaenda drc au ghana au rwanda kuhoji wachezaji?

Kiufupi tanzania tujipange sana maana timu inakuwa na wageni wengi kama tegemeo kuliko wazawa.
team captain wa simba ni Bocco
 
Kwanza mleta mada hebu kwenye listi yako muondoe Larry Bwalya huyo ni habari nyingine kabisa utakuja kumuelewa vizuri siku zijazo kama tulivyokuja kumuelewa Fraga baadae sana . Kwa Mugalu Simba wamechemka kwa sababu tayari walikuwa na Meddi Kagere na Boko walipaswa kuleta mtu zaidi ya hao wawili. Mugalu ni mshambuliaji na tisa wa kizamani kabisa anayesubiri apenyezewe pasi halafu afunge lakini hawezi kukaba au kukokota mpira zaidi ya mita tano kuwafuata mabeki. Lakini Mugalu akiangaliana na kipa uso kwa uso mara tano lazima tatu ziwe goli. Kwa mpira wa kisasa ni ngumu sana kupata timu itakayoendana na aina yake ya uchezaji kwani sasa hivi mpira umekuwa vita na namba tisa wa sasa hivi wanaenda kushoto na kulia dakika zote tisini na wakati mwingine wanarudi mpaka kupita mstari wa katikati ili kusaidia ulinzi. Na mbaya zaidi mabeki siku huwa hawatoi nafasi kirahisi kwa mshambuiaji hata kugeuka kumtizama kipa wao basi ni shida tupu kwa aina ya mchezaji kama Mugalu hasa anapopangwa kama mshambuliaji wa mwisho peke yake.

Kwa Sarpong kwa kweli kila mtu kamuona na hata aliyemsajili sasa hivi atakuwa anaona aibu kabisa na wale waliombeba uwanja wa ndege sijui wana hali gani huko waliko. Kama Sarpong angekuwa mshambuliaji mzuri kwenye mechi ya juzi Mapinduzi Cup ingeisha kipindi cha kwanza wala isingefika kwenye matuta. Calinyo ni bonge la mchezaji ila anaonekana pancha nyingi sana lakini pia kwenye mechi na timu zinazotumia nguvu huwa anapata shida sana kutokana na umbile lake.

Kama kweli viongozi wa Simba na Yanga wangekuwa ni watu wa kuchukua maamuzi magumu nina hakika kwa Simba angeachwa Morison na Mugalu kwa upande wa Yanga Calinyo na Sarpong kwa sababu wanalipwa pesa nyingi lakini ni wafanyakazi hewa.

Hizi timu zitaendelea kupoteza pesa nyingi kwenye usajili kwa sababu hazitaki kuwa na timu za kufanya "scouting" badala yake viongozi wanakurupuka na mihemuko wakati wangeweza hata kuwatumia baadhi ya wachezaji wao waandamizi wa zamani na wengine ni makocha kwa sasa wakawasaidia hili zoezi kwa muda wakati wanatafuta wataalamu hasa wa "scouting" kama vilabu vikubwa vinavyoendeshwa kisasa vinavyofanya.

Faida kubwa ya kufanya "scouting" ni kuwa kwanza usajili unafanyika bila presha na pili utapata mchezaji mzuri kwa nafasi unayohitaji yenye mapungufu kwenye timu yako tena kwa bei rahisi kabisa kuliko sasa mchezaji akitakiwa na Simba na Yanga anasajiliwa kwa bei kubwa wakati uwezo wenyewe hana kulingana na pesa atakayopewa. Na viongozi wa sasa wa Simba na Yanga wanazidiwa kwenye suala la usajili na viongozi wa zamani japo hawakuwa wasomi wala hawakuwa na pesa sana lakini walikuwa wanawatumia wanachama wao wenye ufahamu na mpira kuwafuatilia wachezaji wanaowahitaji huko mikoani kisha wanaletwa Dar na kujiunga na hivi vilabu. Sio sasa hivi kila timu ya nje ikimaliza kucheza kesho utasikia mchezaji fulani anatakiwa na Simba na Yanga wakati mchezaji mwenyewe kacheza mechi moja tu hapa. Je kama siku hiyo kaamka vizuri ujue ndio Simba au Yanga kapata galasa hapo.
Scouting sio kila kitu mkuu japokuwa ni jambo zuri kwa mpira wa kisasa, Ronaldo kasajiliwa man u baada ya Manchester kucheza na Sporting Lisbon, vipi unahis real Madrid nao hawana Scouting mbona mara kibao wanafanya sajili za hovyo sana, vipi barca nao? Pepe pale Arsenal na sio mara zote utataka kuscout wachezaji kwa matumizi ya badae ispokuwa watu wanaangalia potential ya mchezaji

Mchezaji kafanya vizuri kwa muda fulani lazima vilabu vimtake, hapo huwezi kuanza kuleta mambo ya scout, sasa Simba inataka mchezaji Wa kuongeza nguvu club bingwa huyo scout wa nini, na una uhakika gani kwamba Simba haikumfatilia, maana mwaka jana Simba alitolewa na ud songo na platnum akawatoa songo na chikwende akaweka hat trick alafu mwaka huu Simba kamnunua je huoni km kuna chain ya matukio

Na pia sio mponde tu huu mfumo wa usajili mkumbuke na kusifia pia maana kuna wachezaji wazuri wamepatikana kwa mfumo huo, hao kina bwalya, Chama, luis, saido, mukoko, dube, wadada, na wengine wengi kwa nyakati tofauti tofauti mfano okwi, ngoma, chirwa, kamusoko, Tambwe, wawa so unapaswa kujua kuwa always usajili ni gambling no assurance ata all japokuwa umuhimu wa scouting uko pale pale
 
Mchezaji ukiifunga tu Simba au Yanga wanakusajili.

Kama hakuna kabisa recruitment professionals.

Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili.

Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja tu anasajiliwa.
Takumi Minamino alifuatiliwa kwa miaka mingapi?
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Lakini pointi yangu kubwa "scouting" inapunguza sana kusajili magarasa na pesa ya kulipa mchezaji inakuwa ndogo na timu itatafuta mchezaji kutokana na mahitaji bila presha yoyote. Hebu angalia unamuacha Yikpe halafu unamsajili Sarpong. Una Meddie na Boko halafu unaleta Mugalu ambaye kiwango chake ni sawa na hao wawili. Simba sasa hivi inahitaji sana beki wa kati mwenye uwezo wa kuzuia washambuliaji wa Al haly na As Vita lakini usishangae usajili ukifungwa leo wakawa wamesajili fowadi/winga badala ya beki wa kati. Kwa hiyo hivi vilabu kama haviwezi kuwa na timu za "scouting" basi walau basi waende wakavunje mikataba ya wachezaji wenye uwezo kwenye timu nyingine kubwa .
 
Kwanza mleta mada hebu kwenye listi yako muondoe Larry Bwalya huyo ni habari nyingine kabisa utakuja kumuelewa vizuri siku zijazo kama tulivyokuja kumuelewa Fraga baadae sana . Kwa Mugalu Simba wamechemka kwa sababu tayari walikuwa na Meddi Kagere na Boko walipaswa kuleta mtu zaidi ya hao wawili. Mugalu ni mshambuliaji na tisa wa kizamani kabisa anayesubiri apenyezewe pasi halafu afunge lakini hawezi kukaba au kukokota mpira zaidi ya mita tano kuwafuata mabeki. Lakini Mugalu akiangaliana na kipa uso kwa uso mara tano lazima tatu ziwe goli. Kwa mpira wa kisasa ni ngumu sana kupata timu itakayoendana na aina yake ya uchezaji kwani sasa hivi mpira umekuwa vita na namba tisa wa sasa hivi wanaenda kushoto na kulia dakika zote tisini na wakati mwingine wanarudi mpaka kupita mstari wa katikati ili kusaidia ulinzi. Na mbaya zaidi mabeki siku huwa hawatoi nafasi kirahisi kwa mshambuiaji hata kugeuka kumtizama kipa wao basi ni shida tupu kwa aina ya mchezaji kama Mugalu hasa anapopangwa kama mshambuliaji wa mwisho peke yake.

Kwa Sarpong kwa kweli kila mtu kamuona na hata aliyemsajili sasa hivi atakuwa anaona aibu kabisa na wale waliombeba uwanja wa ndege sijui wana hali gani huko waliko. Kama Sarpong angekuwa mshambuliaji mzuri kwenye mechi ya juzi Mapinduzi Cup ingeisha kipindi cha kwanza wala isingefika kwenye matuta. Calinyo ni bonge la mchezaji ila anaonekana pancha nyingi sana lakini pia kwenye mechi na timu zinazotumia nguvu huwa anapata shida sana kutokana na umbile lake.

Kama kweli viongozi wa Simba na Yanga wangekuwa ni watu wa kuchukua maamuzi magumu nina hakika kwa Simba angeachwa Morison na Mugalu kwa upande wa Yanga Calinyo na Sarpong kwa sababu wanalipwa pesa nyingi lakini ni wafanyakazi hewa.

Hizi timu zitaendelea kupoteza pesa nyingi kwenye usajili kwa sababu hazitaki kuwa na timu za kufanya "scouting" badala yake viongozi wanakurupuka na mihemuko wakati wangeweza hata kuwatumia baadhi ya wachezaji wao waandamizi wa zamani na wengine ni makocha kwa sasa wakawasaidia hili zoezi kwa muda wakati wanatafuta wataalamu hasa wa "scouting" kama vilabu vikubwa vinavyoendeshwa kisasa vinavyofanya.

Faida kubwa ya kufanya "scouting" ni kuwa kwanza usajili unafanyika bila presha na pili utapata mchezaji mzuri kwa nafasi unayohitaji yenye mapungufu kwenye timu yako tena kwa bei rahisi kabisa kuliko sasa mchezaji akitakiwa na Simba na Yanga anasajiliwa kwa bei kubwa wakati uwezo wenyewe hana kulingana na pesa atakayopewa. Na viongozi wa sasa wa Simba na Yanga wanazidiwa kwenye suala la usajili na viongozi wa zamani japo hawakuwa wasomi wala hawakuwa na pesa sana lakini walikuwa wanawatumia wanachama wao wenye ufahamu na mpira kuwafuatilia wachezaji wanaowahitaji huko mikoani kisha wanaletwa Dar na kujiunga na hivi vilabu. Sio sasa hivi kila timu ya nje ikimaliza kucheza kesho utasikia mchezaji fulani anatakiwa na Simba na Yanga wakati mchezaji mwenyewe kacheza mechi moja tu hapa. Je kama siku hiyo kaamka vizuri ujue ndio Simba au Yanga kapata galasa hapo.
Sawa ...mkuu namtoa Bwalya! 😆namuongezea Zana Coulibaly
 
Umenena mkuu! Ukiangalia Timu kama Vita ilimuacha Mukoko na TMk unategemea Nini!
Sasa hapo hujakutana na Ahly....hapo silaha pekee Ni kwa Mkapa hhawatoki!Ukweli mchungu!
 
Faida kubwa ya kufanya "scouting" ni kuwa kwanza usajili unafanyika bila presha na pili utapata mchezaji mzuri kwa nafasi unayohitaji yenye mapungufu kwenye timu yako tena kwa bei rahisi kabisa kuliko sasa mchezaji akitakiwa na Simba na Yanga anasajiliwa kwa bei kubwa wakati uwezo wenyewe hana kulingana na pesa atakayopewa.
Hivi mnadhani mnapofanya scouting, hakuna timu nyingine duniani zinazowafanyia wachezaji hao hao? Usajili ni kama kamari, ukiona mchezaji ana idea mchukue tu, huko mbele tutajuana kama anafaa ama hafai. Kwa Simba huyo Morrison ni bonge la mchezaji, kutocheza kwa sababu za kiafya au kiutawala hakuondoi ukweli kwamba ni mchezaji mzuri wa level za Simba ya CAF CL
 
Morison ni bonge la mchezaji akiwa Yanga kwa sababu Yanga wakati ule walikuwa na wachezaji wengi wa kawaida. Kwa Simba ni mchezaji wa kawaida sana. Ana masihara sana, mbinafsi uwanjani, mvivu kukaba, anapoteza mipira kirahisi halafu anatembea badala ya kurudi haraka kuziba nafasi. Ajifunze kwa Miqissone jinsi anavyopambana na adui akipoteza mpira lazima ahakikishe mpira umerudi miguuni mwake. Kwa mpira sasa hivi wale mawinga wa kukaapembeni waletewe mpira wakimbie nao mbele tu halafu kazi ya kukaba wanamuachia fulbeki hawana nafasi tena. Muwe mnatazama mpira kwa umakini jamani muone mabeki wa pembeni Zimbwe na Kapombe wanavyopata shida kukaba wakipangwa na huyo Morison wenu. Viongozi wanaona aibu tu kwa sababu walimsajili kwa mbwembwe vinginevyo huyo ni kufyekelea mbali halafu Simba walete chuma kingine kwa ajili ya hiyo Champions League.
 
Kwanini mnapenda kuangalia sana ulaya wamefanya nini? Msiwe jamii ya kuiga kila kitu. mimi nazungumzia ladha ya mpira nilioufahamu na sasa.
Acha kukarilili, saizi simba inaingia Mara mbili ndani ya miaka mitatu group stage ni mchango wa hao wazawa, ka unataka kuwaona wazawa kuna timu ya taifa ya chan waangalie hao.
Acheni kuleta hoja dhaifu, mchezaji kutokuperform vizuri sometimes inatokea tu, unaweza ukasajili mzawawa akafanya vizuri au asifanye vizuri.
Sarpong walimsajili Yanga akiwa mfungaji bora wa ligi ya Rwanda, ko haimanishi kua ni mchezaji mbaya kwa vile hajafanya vizuri Yanga. Hazard amesajiliwa Madrid akiwa moto kweliz, lakini saizi anaonekana wa kawaida sana.
Issue ya kusema unasajili mchezaji kwa mechi moja sidhani kama inamashiko sana, labda ulete kwa sababu ya utani wa simba na Yanga. Mi nafikiri cha umuhimu ni kuangalia ubora wa mchezaji. Konde boy na Saido ni mfano wa hiyo.
Afu wengine mnaongea tu issue za scouting, hamuangalii hata financial status za vilabu vyenu
 
Sawa ...mkuu namtoa Bwalya! [emoji38]namuongezea Zana Coulibaly
Usajili wa Yanga
Karibu%20timu%20ya%20WANANCHI!!!%20%40fistonabdoulrazaq%20(%201146%20X%201080%20).jpg

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Kwanza mleta mada hebu kwenye listi yako muondoe Larry Bwalya huyo ni habari nyingine kabisa utakuja kumuelewa vizuri siku zijazo kama tulivyokuja kumuelewa Fraga baadae sana . Kwa Mugalu Simba wamechemka kwa sababu tayari walikuwa na Meddi Kagere na Boko walipaswa kuleta mtu zaidi ya hao wawili. Mugalu ni mshambuliaji na tisa wa kizamani kabisa anayesubiri apenyezewe pasi halafu afunge lakini hawezi kukaba au kukokota mpira zaidi ya mita tano kuwafuata mabeki. Lakini Mugalu akiangaliana na kipa uso kwa uso mara tano lazima tatu ziwe goli. Kwa mpira wa kisasa ni ngumu sana kupata timu itakayoendana na aina yake ya uchezaji kwani sasa hivi mpira umekuwa vita na namba tisa wa sasa hivi wanaenda kushoto na kulia dakika zote tisini na wakati mwingine wanarudi mpaka kupita mstari wa katikati ili kusaidia ulinzi. Na mbaya zaidi mabeki siku huwa hawatoi nafasi kirahisi kwa mshambuiaji hata kugeuka kumtizama kipa wao basi ni shida tupu kwa aina ya mchezaji kama Mugalu hasa anapopangwa kama mshambuliaji wa mwisho peke yake.

Kwa Sarpong kwa kweli kila mtu kamuona na hata aliyemsajili sasa hivi atakuwa anaona aibu kabisa na wale waliombeba uwanja wa ndege sijui wana hali gani huko waliko. Kama Sarpong angekuwa mshambuliaji mzuri kwenye mechi ya juzi Mapinduzi Cup ingeisha kipindi cha kwanza wala isingefika kwenye matuta. Calinyo ni bonge la mchezaji ila anaonekana pancha nyingi sana lakini pia kwenye mechi na timu zinazotumia nguvu huwa anapata shida sana kutokana na umbile lake.

Kama kweli viongozi wa Simba na Yanga wangekuwa ni watu wa kuchukua maamuzi magumu nina hakika kwa Simba angeachwa Morison na Mugalu kwa upande wa Yanga Calinyo na Sarpong kwa sababu wanalipwa pesa nyingi lakini ni wafanyakazi hewa.

Hizi timu zitaendelea kupoteza pesa nyingi kwenye usajili kwa sababu hazitaki kuwa na timu za kufanya "scouting" badala yake viongozi wanakurupuka na mihemuko wakati wangeweza hata kuwatumia baadhi ya wachezaji wao waandamizi wa zamani na wengine ni makocha kwa sasa wakawasaidia hili zoezi kwa muda wakati wanatafuta wataalamu hasa wa "scouting" kama vilabu vikubwa vinavyoendeshwa kisasa vinavyofanya.

Faida kubwa ya kufanya "scouting" ni kuwa kwanza usajili unafanyika bila presha na pili utapata mchezaji mzuri kwa nafasi unayohitaji yenye mapungufu kwenye timu yako tena kwa bei rahisi kabisa kuliko sasa mchezaji akitakiwa na Simba na Yanga anasajiliwa kwa bei kubwa wakati uwezo wenyewe hana kulingana na pesa atakayopewa. Na viongozi wa sasa wa Simba na Yanga wanazidiwa kwenye suala la usajili na viongozi wa zamani japo hawakuwa wasomi wala hawakuwa na pesa sana lakini walikuwa wanawatumia wanachama wao wenye ufahamu na mpira kuwafuatilia wachezaji wanaowahitaji huko mikoani kisha wanaletwa Dar na kujiunga na hivi vilabu. Sio sasa hivi kila timu ya nje ikimaliza kucheza kesho utasikia mchezaji fulani anatakiwa na Simba na Yanga wakati mchezaji mwenyewe kacheza mechi moja tu hapa. Je kama siku hiyo kaamka vizuri ujue ndio Simba au Yanga kapata galasa hapo.
tatizo ni ile ten percent
 
Usiku huu nilianza kuona tetesi za usajili wa Chikwende!

Kama ni kweli, hiki ni Kielelezo kingine cha kukosa weledi katika menejimenti ya Soka!

Inawezekana Rais alikuwa sahihi aliposema Tatizo la doka la Tanzania ni Simba na Yanga!

Katika hiki kinachoitwa uwekekezaji katika hizi timu mbili, unajuliza inakuwaje kunakosekana weledi katika menejimenti ya Soka!

Hivi Simba walikuwa na Mpango wa kusajili ktk dirisha dogo, walitaka kusajili kwa malengo gani? Walijua wanamsajili nani?

Huyu Chikwende so wamemjua juzi tu? Somewhere something is wrong!

Ukiondoa Afika kusini na DRC, pengine Angola Tanzania ndio Kuna pesa za kuokota kwa wanasoka!

Hebu muangalie Sarpong, Calinyo' Mugalu, Balya, Yikpe wanatofauti gani na Watz?

Leo hii Ligi yetu imejaa Warundi! Mmakocha na wachezaji, kweli?

Mo na kina GSM wanajua kuwa wanachofanya haakina faida kwa sokala Tanzania Ila wao wmesoma upepo wanapiga hela!

Bila wadau kuamka na kuangalia huu Utopolo wa Soka letu ,tutaendelea kutambiana u-Simba na u-Yanga Basi!
Upo sahihi kabisa. Hakuna long term plans, ni kama watoto wanaogombea pilau ya sherehe halafu baada ya sherehe wapo hoi kwa kuvimbiwa.
 
Mchezaji ukiifunga tu Simba au Yanga wanakusajili.

Kama hakuna kabisa recruitment professionals.

Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili.

Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja tu anasajiliwa.
Hawana scout
 
Kuna muda tunawakosea sana viongoz na wadau wa simba na yanga tunawasema sana ata pasipostail hii nchi ngum sana kila upande mfano angalia tunaambiwa nchi yetu ina utajir rud ktk maisha yetu kuna huo utajir ukirud ktk mpra maneno tu tuna vipaj ving ukirud ktk ualisia vipaj jina karbu kila tim ina wachezaj wazawa ktk kila sehem lkn utaona wanaofanya vzur wachache mfano juz tim ya taifa ipo nyumban mech ya kirafk lkn tulizidiwa kila sehem hao wachezaj wagen munaowasema viongoz wanawasajir kwa kukurupuka ndio weng wanatusaidia kuwazindua wachezaj wetu na ndio wanaosaidia tim zetu zifke hatua fulan ,ukimuangalia mtu kama ajibu kuna matumain atakua mchezaj mkubwa zaid ya pale tukosoe na tushaur lkn pia tuwape heshima haiwezekan et kila wanachofanya wanakosea tu tukubali tukatae Tanzania tuna vipaj vya kawaida tu ukichanganya na tabia zetu kurizka mapema ndio kabisa mtu kama tambwe anakuja tz anachukua ufungaj bora na watz wapo kila tim na suhala la kusajil mchezaj alaf akaflop lipo dunian kote aijalish ulimchunguza au ulimuona mech moja au mbil ,hazard kacheza Chelsea kwa kiwango bora leo yupo wap,ivyo ivyo kwa torres,ka ma watz na wapenda mpra tuwashaur na tukosoe na tusiwe wachoyo wa kupongeza ata kwa mambo aya ya kawaida
 
Back
Top Bottom