Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kujitia ujuaji wakati hujui kitu,hujui hata captein wa Simba. Halafu kuwa mgeni sio kigezoMbali na hilo juzi nimesikitika sana team captain simba na yanga wote sio watanzania. Yani raha ya simba na yanga ilikuwa zamani.
Hata ukiwa mzee unasimulia mwaka 2021 tuliwafunga simba mapinduzi cup inaleta uhalisia sasa sijui media zetu huko baadae zitakuwa zinaenda drc au ghana au rwanda kuhoji wachezaji?
Kiufupi tanzania tujipange sana maana timu inakuwa na wageni wengi kama tegemeo kuliko wazawa.
Mimi mwenyew nimeshangaa kweli yan, bwalya anastail kuwepo pale kama anabisha akarudie kuangalia michezo miwili ya mwsho aliyocheza na platinumYaani na Bwalya unataka kusema hastahili kuwapo Simba? Hapo hata sitakuelewa. Mtanzania gani ambaye hayupo Simba unayemfananisha na Bwalya ili asajiliwe kama mbadala?
hawa ni wale wa kuangalia mechi 1,anadhani mchezaji ni roboti atakuwa vizuri mechi zoteMimi mwenyew nimeshangaa kweli yan, bwalya anastail kuwepo pale kama anabisha akarudie kuangalia michezo miwili ya mwsho aliyocheza na platinum
"Hawa ni Waswahili kamwe hawawezi Kukuelewa"Alisikika Mswahili mmoja!Usiku huu nilianza kuona tetesi za usajili wa Chikwende!
Kama ni kweli, hiki ni Kielelezo kingine cha kukosa weledi katika menejimenti ya Soka!
Inawezekana Rais alikuwa sahihi aliposema Tatizo la doka la Tanzania ni Simba na Yanga!
Katika hiki kinachoitwa uwekekezaji katika hizi timu mbili, unajuliza inakuwaje kunakosekana weledi katika menejimenti ya Soka!
Hivi Simba walikuwa na Mpango wa kusajili ktk dirisha dogo, walitaka kusajili kwa malengo gani? Walijua wanamsajili nani?
Huyu Chikwende so wamemjua juzi tu? Somewhere something is wrong!
Ukiondoa Afika kusini na DRC, pengine Angola Tanzania ndio Kuna pesa za kuokota kwa wanasoka!
Hebu muangalie Sarpong, Calinyo' Mugalu, Balya, Yikpe wanatofauti gani na Watz?
Leo hii Ligi yetu imejaa Warundi! Mmakocha na wachezaji, kweli?
Mo na kina GSM wanajua kuwa wanachofanya haakina faida kwa sokala Tanzania Ila wao wmesoma upepo wanapiga hela!
Bila wadau kuamka na kuangalia huu Utopolo wa Soka letu ,tutaendelea kutambiana u-Simba na u-Yanga Basi!
Alafu captain akiwa mgeni inaleta changamoto chanya kwa wenyeji kama wakijielewaHuo mpira haujaufahamu peke yako, hata sisi tumekuwa tukiufatilia.
Hebu niambie kuna kasoro gani kepteni akiwa sio mzawa, ladha inapungua au? Je ni kipi kigezo cha mtu kuwa kepteni
Mabeki wapo labda DM ndio naona ni shida.. ukabaji pale kati haujakaa vzr hivyo kupelekea mabeki kuwa na mzigo mkubwa.Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Lakini pointi yangu kubwa "scouting" inapunguza sana kusajili magarasa na pesa ya kulipa mchezaji inakuwa ndogo na timu itatafuta mchezaji kutokana na mahitaji bila presha yoyote. Hebu angalia unamuacha Yikpe halafu unamsajili Sarpong. Una Meddie na Boko halafu unaleta Mugalu ambaye kiwango chake ni sawa na hao wawili. Simba sasa hivi inahitaji sana beki wa kati mwenye uwezo wa kuzuia washambuliaji wa Al haly na As Vita lakini usishangae usajili ukifungwa leo wakawa wamesajili fowadi/winga badala ya beki wa kati. Kwa hiyo hivi vilabu kama haviwezi kuwa na timu za "scouting" basi walau basi waende wakavunje mikataba ya wachezaji wenye uwezo kwenye timu nyingine kubwa .
Hata Samatta kutoka Simba > TP MazembeTakumi Minamino alifuatiliwa kwa miaka mingapi?
Chikwende kaja tayariMorison ni bonge la mchezaji akiwa Yanga kwa sababu Yanga wakati ule walikuwa na wachezaji wengi wa kawaida. Kwa Simba ni mchezaji wa kawaida sana. Ana masihara sana, mbinafsi uwanjani, mvivu kukaba, anapoteza mipira kirahisi halafu anatembea badala ya kurudi haraka kuziba nafasi. Ajifunze kwa Miqissone jinsi anavyopambana na adui akipoteza mpira lazima ahakikishe mpira umerudi miguuni mwake. Kwa mpira sasa hivi wale mawinga wa kukaapembeni waletewe mpira wakimbie nao mbele tu halafu kazi ya kukaba wanamuachia fulbeki hawana nafasi tena. Muwe mnatazama mpira kwa umakini jamani muone mabeki wa pembeni Zimbwe na Kapombe wanavyopata shida kukaba wakipangwa na huyo Morison wenu. Viongozi wanaona aibu tu kwa sababu walimsajili kwa mbwembwe vinginevyo huyo ni kufyekelea mbali halafu Simba walete chuma kingine kwa ajili ya hiyo Champions League.
Hapo CCM mkuu umetaja Chikwenda, Chama, MiquisomHizo timu kila siku nawaambia ni timu za CCM watu hawaelewi hakuna mpira hapo.
Huyo Kigwangala amefadhili timu gani..? (Kigwangala aliona Mbali,,,Mwamedi ni msanii
Nimeshambuliwa sana lkn kila mmoja anatolea mfaano wa ulaya, mimi nilimaanisha ladha ya utani wa jadi miaka ya 80. Sikupinga kuwa sasa mpira umebadilika, miaka hiyo ulikuwa hukuti hizi mambo.Unaanzaje kusema tusiangalie ulaya while kila siku mnawasoma kina Aristotle , plato n.k?!
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Lucas ladebe alikuwa captain leedsAliyekwambia lazima captain wa timu awe mzawa nani?
Auba ni mwingereza? Messi ni mspain? Mechina watford captain wa Man U alikuwa Mctominay ambae sio Muingereza.
Hebu elekezeni lawama zinazostahili, sehem sahihi.
Ssa TZ kuna standards zozote mzee...???Kwanini mnapenda kuangalia sana ulaya wamefanya nini? Msiwe jamii ya kuiga kila kitu. mimi nazungumzia ladha ya mpira nilioufahamu na sasa.