Kukurupuka katika usajili kwa Simba na Yanga ni kiashiria kuwa tuna safari ndefu sana

Kigwangala aliona Mbali,,,Mwamedi ni msanii
 
kujitia ujuaji wakati hujui kitu,hujui hata captein wa Simba. Halafu kuwa mgeni sio kigezo
 
Yaani na Bwalya unataka kusema hastahili kuwapo Simba? Hapo hata sitakuelewa. Mtanzania gani ambaye hayupo Simba unayemfananisha na Bwalya ili asajiliwe kama mbadala?
Mimi mwenyew nimeshangaa kweli yan, bwalya anastail kuwepo pale kama anabisha akarudie kuangalia michezo miwili ya mwsho aliyocheza na platinum
 
Mimi mwenyew nimeshangaa kweli yan, bwalya anastail kuwepo pale kama anabisha akarudie kuangalia michezo miwili ya mwsho aliyocheza na platinum
hawa ni wale wa kuangalia mechi 1,anadhani mchezaji ni roboti atakuwa vizuri mechi zote
 
Usipange captain wa Timu awe Mtz, usilalamike usajili unaofanyika

Watu wanatafuta hela wwe, Hayo mengine yaache kweny dakka 90
 
Uzi Bora kabisa wa Soka!Usajili wa kutaka Sifa na Kumkomoa fulani na Si kuangalia Uhitaji.
 
"Hawa ni Waswahili kamwe hawawezi Kukuelewa"Alisikika Mswahili mmoja!
 
Huo mpira haujaufahamu peke yako, hata sisi tumekuwa tukiufatilia.

Hebu niambie kuna kasoro gani kepteni akiwa sio mzawa, ladha inapungua au? Je ni kipi kigezo cha mtu kuwa kepteni
Alafu captain akiwa mgeni inaleta changamoto chanya kwa wenyeji kama wakijielewa
 
Mabeki wapo labda DM ndio naona ni shida.. ukabaji pale kati haujakaa vzr hivyo kupelekea mabeki kuwa na mzigo mkubwa.

AME,WAWA,ONYANGO,NYONI na KENEDY hawa wote ni CB.
 
Chikwende kaja tayari
 
Unaanzaje kusema tusiangalie ulaya while kila siku mnawasoma kina Aristotle , plato n.k?!

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nimeshambuliwa sana lkn kila mmoja anatolea mfaano wa ulaya, mimi nilimaanisha ladha ya utani wa jadi miaka ya 80. Sikupinga kuwa sasa mpira umebadilika, miaka hiyo ulikuwa hukuti hizi mambo.

Nimeona hata nikianza kujibu mmoja mmoja hawatanielewa wengine wameanzia kujua timu miaka ya 2000.
 
Aliyekwambia lazima captain wa timu awe mzawa nani?

Auba ni mwingereza? Messi ni mspain? Mechina watford captain wa Man U alikuwa Mctominay ambae sio Muingereza.

Hebu elekezeni lawama zinazostahili, sehem sahihi.
Lucas ladebe alikuwa captain leeds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…