A
Anonymous
Guest
Unakuta wananing'inia huku miguu wamevaa yeboyebo, hakuna mwenye kofia ngumu za usalama, kiufupi usalama hauzingatiwi.
Kuna tukio la dada mmoja anayefanya biashara ndogondogo aliangukiwa na misumari kwenye ujenzi unaoendelea, akapasuka sababu ni ukosefu wa neti za usalama wakati wa ujenzi.
Kiufupi tu ujenzi wa maeneo mengi Kariakoo Watu hawaangalii na hawathamini hatari kabla ya kazi.