Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
aisee š¤£Dagaa wa Bukoba kilo moja 10000
Dagaa wa nyasa kilo moja 15000
Dagaa wa kigoma kilo moja 36000
Sasa unashauri tule dagaa wa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee š¤£Dagaa wa Bukoba kilo moja 10000
Dagaa wa nyasa kilo moja 15000
Dagaa wa kigoma kilo moja 36000
Sasa unashauri tule dagaa wa wapi?
Ha ha haKuanzia leo naanza kula dagaa, fungu la mia tano linanitosha kwa siku; kwa mwezi 15,000 inanitosha kabisa.
Kuishiwa kubaya
Vipi mke wako kakuelewa hiyo hoja uliyojenga kuwa dagaa wadogo wazuri kuliko samaki wakubwa kwenye kula?
Asante kwa kunikumbudha kesho nitapitia Dagaa mchele wabichi nikaange nilie ugali jumamosi
Aisee umenena jiraniš„°Hapo limao na pilipili pembeni, ukiweza na kachumbari kidogo ugali unamaliza beseni zima
Hizo bei umezitoa wapi mkuu?Dagaa wa Bukoba kilo moja 10000
Dagaa wa nyasa kilo moja 15000
Dagaa wa kigoma kilo moja 36000
Sasa unashauri tule dagaa wa wapi?
Hilo soko la bei hiyo liko wapi mkuuDagaa wa Bukoba kilo moja 10000
Dagaa wa nyasa kilo moja 15000
Dagaa wa kigoma kilo moja 36000
Sasa unashauri tule dagaa wa wapi?
Dagaa nyama aka wa Zanzibar.Dagaa mchele
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuishiwa kubaya
Vipi mke wako kakuelewa hiyo hoja uliyojenga kuwa dagaa wadogo wazuri kuliko samaki wakubwa kwenye kula?