Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #61
Ni kweli. Mtu ukishakua mtu mzima hihitaji protini kwa wingi. Ajabu baba linapiga mapaja ya kuku watoto vipapatio. Ulafi tu.Kuna jamaa mwingine nilimsikia akisema, ukila nyama ni vipande viwili tu vinavyojenga protini ya mwili. Vingine ni makapi tu. Hii njaa itatufunua mambo mengi