Hatukatai ni kweli. Lakini kama huna yakununulia samaki mkubwa na unayo fungu 2 za dagaa si ndio hapo unaambukia kula dagaa kila wakati!Tofauti na samaki wakubwa, mtu anayekula dagaa anakula hadi mifupa yake. Sasa mifupa ina madini mengi sana ya calcium. Madini hayo ndiyo hujenga mifupa ya viumbe wote.
Binadamu anayekula dagaa anakuwa na mifupa imara sana kuliko alaye samaki wakubwa, hasa kwa watoto ambao wanakua. Kwa kweli haitakiwi mlo ukose dagaa.
Hilo soko la bei hiyo liko wapi mkuu
Dagaa nyama aka wa Zanzibar.
Lema anachojua ni Watu wavae CHUPI.Lema anajua hili
[emoji3][emoji3][emoji3]Kudadadeki.Kuishiwa kubaya
Vipi mke wako kakuelewa hiyo hoja uliyojenga kuwa dagaa wadogo wazuri kuliko samaki wakubwa kwenye kula?
[emoji3][emoji3][emoji3]Kudadadeki.Kuishiwa kubaya
Vipi mke wako kakuelewa hiyo hoja uliyojenga kuwa dagaa wadogo wazuri kuliko samaki wakubwa kwenye kula?
Jamaa kabwinu mbwinuKuishiwa kubaya
Vipi mke wako kakuelewa hiyo hoja uliyojenga kuwa dagaa wadogo wazuri kuliko samaki wakubwa kwenye kula?
Dagaa wapiTofauti na samaki wakubwa, mtu anayekula dagaa anakula hadi mifupa yake. Sasa mifupa ina madini mengi sana ya calcium. Madini hayo ndiyo hujenga mifupa ya viumbe wote.
Binadamu anayekula dagaa anakuwa na mifupa imara sana kuliko alaye samaki wakubwa, hasa kwa watoto ambao wanakua. Kwa kweli haitakiwi mlo ukose dagaa.
Dagaa wa Nyassa ni watamu na wazuri hatari.Dagaa wa Bukoba kilo moja 10000
Dagaa wa nyasa kilo moja 15000
Dagaa wa kigoma kilo moja 36000
Sasa unashauri tule dagaa wa wapi?
Hawa ndiyo dagaa sasaView attachment 2563045
Dagaa nyasa hawa hupatikana ziwa Nyasa, katika mikoa ya ruvuma, njombe na mbeya lakini pia ziwa hilo hufika hadi malawi, dagaa hawa wakiwa wabichi wakubwa wengine huwaita usipa, wsliokaushwa juani huitwa Ng’onda
Furu ni noma weka mbali na watoto upate na ugali wa udaga mbona utakubaliKuna dagaa nilikula Mwanza wanaitwa Furu watamu kinoma..
Kuna jamaa mwingine nilimsikia akisema, ukila nyama ni vipande viwili tu vinavyojenga protini ya mwili. Vingine ni makapi tu. Hii njaa itatufunua mambo mengiTofauti na samaki wakubwa, mtu anayekula dagaa anakula hadi mifupa yake. Sasa mifupa ina madini mengi sana ya calcium. Madini hayo ndiyo hujenga mifupa ya viumbe wote.
Binadamu anayekula dagaa anakuwa na mifupa imara sana kuliko alaye samaki wakubwa, hasa kwa watoto ambao wanakua. Kwa kweli haitakiwi mlo ukose dagaa.
Dagaa wa ziwa victoria bei chee sana hasa kipindi cha mvua. Hiyo elf 10 ni zaidi ya kilo 20 wabichiaisee [emoji1787]