Kula dagaa kuna faida kuliko kula samaki wakubwa

Kuna jamaa mwingine nilimsikia akisema, ukila nyama ni vipande viwili tu vinavyojenga protini ya mwili. Vingine ni makapi tu. Hii njaa itatufunua mambo mengi
Ni kweli. Mtu ukishakua mtu mzima hihitaji protini kwa wingi. Ajabu baba linapiga mapaja ya kuku watoto vipapatio. Ulafi tu.
 
Tafuta hela dagaa sio mboga
Hizo ni mbwembwe zenu vijana msio na fedha na mnaotafuta pia watoto wa 2000's ila sisi watu wazima na tulio na fedha kila kitu ni mboga hata nyoka na mende kwa kutegemea namna wnavyoandaliwa na makuzi yako. Unaweza amini kuwa Pinda na uwaziri wake mkuu anakula "madimu" yanayookotwa porini kwenye miti iliyooza kule Mpimbwe na tena yanapandishwa ndege apelekewe DSM au Dom au unaamini Lowasa anakula "rushoro" au anakunywa "damu mbichi ya wanyama" badilika dogo na acha ulimbukeni.
 
Na ndio mana pia mangoosha wako fizuri kwenye kugegeda hata watu wa songea maana kumbe wana madini mengi ya chuma.

Kama sijasahau pamoja na mambo mengine sperms zinategenea sana madini ya chuma, zinc na calcium. Sasa hao wanaojidai matajiri wanakaa miaka wakitafuta watoto.

Wanaanza kuzunguka kwa mitume na manabii.
 
Acha kudanganya watu, Dagaa ni chakula cha kimasikini na watu waliofulia kama wewe.
 
Nyie danganyweni na dagaa huku meli kubwa zikija kwa uwizi bahari kuu na kuondoka na samaki....

Hali duni ya maish
 
Mkuu sema pole pole wasije wakasikia na kupandisha bei..

Ila ni kwl dagaa especially wa kukaanga wana afya tele.
 
Kuishiwa kubaya

Vipi mke wako kakuelewa hiyo hoja uliyojenga kuwa dagaa wadogo wazuri kuliko samaki wakubwa kwenye kula?
Tumekusikia tajiri....... Mbona Hilo ni somo la Darasa la nne C ..... Unachokataa ni nini!???
 
Dagaa ana mfupa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…