Kula mgahawani na kupika mwenyewe kipi kinamaliza pesa kwa upande wako?

duu nyanya mwezi mzima tusio na mafridge tufanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kula mgahawani(kama unaishi mwenyewe) kupika kunagharimu vingi.
 
Kuna siku nilisema ngoja nipike mwenyewe ubwabwa. Nilijuta.
Haujaivaa, umekuwa kama ugali, na nikaungua vidole nikaumwaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaaaahaaaaaaa [emoji1787] [emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]....

Jamani wanaume kazi yenu ni kutafuta hela, jikoni mtuachie[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa...hazimi friji likshagandisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote ni sahihi sema inategemeana tu na staili unavyoishi.
Mimi naona faida ya kula Mgahawani ni kutokuosha vyombo tu maana mimi nakaa pekeangu siwezi kupika vyakula vingi kwanza huo muda sina.
 
kupika home ni nafuu zaidi na nzuri kwa Afya kuliko mgahawani!! Sababu mimi nikinunua kilo 10 ya mchele, Unga kilo 5, maharage kilo 6, mafuta lita 5, na vizaga zaga vinginge nyanya, vitunguu maji,saumu,malimao,tangawizi,pilipili kwa ajili ya chachandu😁, kuku,nyama( ng'ombe,mbuzi) au samaki kwa fridge, nina gesi yangu labda mtungi mdogo au mkubwa,hapo natumia mwezi na kabisa.labda mara moja moja nanunua vitu ambavo ni perishable goods kama nyanya napo za jero au buku natumia siku 4..

imagine kila siku asubuhi mpaka jioni tuseme natumia elfu 4 kwa maisha ya kawaida kwa kiwango cha chini kwa mwezi ni kama 124,000...sasa hiyo nikihemea mazaga zanga si na chenji inabaki..

Vizuri kupika home!!
 
Msosi wa nyumbani mtamu kama unajua kupika lkn, halafu usafi asilimia nyingi kwa uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
yep kabisa..hii misosi ya magengeni/migahawani/ hotelini, ina mambo mengi sana..hawa wapo kibiashara lolote linaweza kufanyika..

Ila kupika nyumbani ndio best option...una ges yako na chakula chako ndani..haichukui saa moja na nusu umeshaivisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…