TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Unakula ugali na maharage, yaani huo mlo ni mlo mmoja tu wanga mtupu.
Ni kweli kwamba maharage yana protini au hamirojo, lakini hamirojo yake ni complex protein, ambayo hadi inameng,'enywa tayari inageuka kuwa wanga.
Ndugu zangu kwangu pakavu, nawashauri, bora kula ugali mchicha kuliko ugali mandondo.
Wasela wangu Ambele Mwalutondwa, George Mwashimaha na Gerald Hongoli walikiwa wakiita ugali maharage NDAMBALI NA NGUNDIMBA tukiwa sekondari huko maporini, Mwakaleli ku ilisu ipimba