Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
... basi kula na viazi mviringo! š
Utakuta huyu maharage ndo yamemkuzaUnakula ugali na maharage, yaani huo mlo ni mlo mmoja tu wanga mtupu.
Ni kweli kwamba maharage yana protini au hamirojo, lakini hamirojo yake ni complex protein, ambayo hadi inameng,'enywa tayari inageuka kuwa wanga.
Ndugu zangu kwangu pakavu, nawashauri, bora kula ugali mchicha kuliko ugali mandondo.
Wasela wangu Ambele Mwalutondwa, George Mwashimaha na Gerald Hongoli walikiwa wakiita ugali maharage NDAMBALI NA NGUNDIMBA tukiwa sekondari huko maporini, Mwakaleli ku ilisu ipimba
Na matobilwa... basi kula na viazi mviringo! š
Mie dagaa, dagaa bro dagaa....nilikula dagaa kwetu, wakiwa na michuzi, bro ni michuzi sio mchuziNikikumbuka shule napata PTSD, Sifanyi huo ujinga tena maishani, Mi hata wali maharage sijawahi elewa the hype.
Halafu wanakuangalia, hawafumbi machoMie dagaa, dagaa bro dagaa....nilikula dagaa kwetu, wakiwa na michuzi, bro ni michuzi sio mchuzi
Mi sili dagaa asee hata iweje heri maharage
Dagaa wanapiga mbizi ziwani, wanapiga mbizi kwenye sufuria na wanapiga mbizi kwenye bakuli......Halafu wanakuangalia, hawafumbi macho
Dagaa wenyewe wanasemaje?Mie dagaa, dagaa bro dagaa....nilikula dagaa kwetu, wakiwa na michuzi, bro ni michuzi sio mchuzi
Mi sili dagaa asee hata iweje heri maharage
Hadi tumboni ni mwendo wa mbiziDagaa wanapiga mbizi ziwani, wanapiga mbizi kwenye sufuria na wanapiga mbizi kwenye bakuli......
Wanakusalimia bujibujiDagaa wenyewe wanasemaje?
Unamaliza kuwala unakunywa maji wanapiga mbizi na tumboni......Hadi tumboni ni mwendo wa mbizi
Mie dagaa, dagaa bro dagaa....nilikula dagaa kwetu, wakiwa na michuzi, bro ni michuzi sio mchuzi
Ndio ujue watu tunatofautiana kiasi kikubwa, Mi dagaa hata nikila mwaka, Nakula dagaa na mihogo, wali, ugali, chips hata wakavu wale wa mwanza nakula kama snack š©š©Mi sili dagaa asee hata iweje heri maharage
Napiga ugali maharagwe wiki nzima tena bila stresspongezi ziwafikie wote wanaoweza kula ugali maharage plain
SawaNapiga ugali maharagwe wiki nzima tena bila stress
Uko vizuri, unapiga plain au na mboga nyingine zinakuwepo?Napiga ugali maharagwe wiki nzima tena bila stress