TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
- Thread starter
- #21
Hawi fukara tenaMasikin akipata......
Hawi fukara tenaMasikin akipata......
Yamekuwa hayo??Mkuu upo pasono sasa😂😂
Nimesoma vizuri tu,, kwani shule za bweni zinapika ugali maharage tu zote dogo???????Kuna watu wanadaharau! 😂
We hujasoma shule za bweni?
Kabisa mi kuhusu mboga huwa napata tabu saba aisee kuna vitu sili kabisahahahahahaha, hapo ni sawa na Kibuku ( chibuku )
AnajishtukiaNimesoma vizuri tu,, kwani shule za bweni zinapika ugali maharage tu zote dogo???????
Halafu mi sijaona dharau hapo
KabisaAnajishtukia
Ukila kama anasa havipandi, vinadunda.pongezi ziwafikie wote wanaoweza kula ugali maharage plain
KabisaaaUkila kama anasa havipandi, vinadunda.
Njaa ikikupiga kisawasawa, utaushambulia tena kwa kumega matonge makubwa makubwa.
Akili itapokukaa sawa na kuanza kuchambua, tayari ushashiba.
hahahahahaha,wewe kama mimi ,mie mboga zangu za ajabu ajabu, ila napenda sana ugali na mboga kavu kavu, mfn samaki wa kukaanga,dagaa la kukaanga, nyama choma, mboga mboga, usijaribu kuweka mchuzi wa aina yoyote ile labda iiwe roastKabisa mi kuhusu mboga huwa napata tabu saba aisee kuna vitu sili kabisa
Mlio zaliwa miaka ya 2000 hili kwenu jipya kabisa, tumekula ugali na chumvi,pongezi ziwafikie wote wanaoweza kula ugali maharage plain
hahahaha, sasa DRC wali maharage wanaweka sukari , kifupi wao maharage wanaweka sukari, halafu unakula na wali, kudadeki , niliacha kula day onepongezi ziwafikie wote wanaoweza kula ugali maharage plain
hahahaha, sema nini ukitembea huko ma nchi ya kiafrika kuna mavyakula ya ajabu na mapishi ya aajabu balaaKabisaaa
mi kwanza sipendi kula hotel.hahahahahaha,wewe kama mimi ,mie mboga zangu za ajabu ajabu, ila napenda sana ugali na mboga kavu kavu, mfn samaki wa kukaanga,dagaa la kukaanga, nyama choma, mboga mboga, usijaribu kuweka mchuzi wa aina yoyote ile labda iiwe roast
Nilienda sehemu nikapikiwa ndizi sijui na nyama gani ile na wadudu aisee mimi nilikuwa naona kinyaa wenywe wanakula na wana enjoyhahahaha, sema nini ukitembea huko ma nchi ya kiafrika kuna mavyakula ya ajabu na mapishi ya aajabu balaa
Huko DRC wao nadhani upande wa mapishi wana zero kabisa dunianihahahaha, sasa DRC wali maharage wanaweka sukari , kifupi wao maharage wanaweka sukari, halafu unakula na wali, kudadeki , niliacha kula day one
Si kweli, sijazaliwa 2000 wakati wa vita baba yangu alikuwa anagawa sukari na unga wa yangaMlio zaliwa miaka ya 2000 hili kwenu jipya kabisa, tumekula ugali na chumvi,
Maharage yana protein wewe mpumbavu.Unakula ugali na maharage, yaani huo mlo ni mlo mmoja tu wanga mtupu.
Ni kweli kwamba maharage yana protini au hamirojo, lakini hamirojo yake ni complex protein, ambayo hadi inameng,'enywa tayari inageuka kuwa wanga.
Ndugu zangu kwangu pakavu, nawashauri, bora kula ugali mchicha kuliko ugali mandondo.
Wasela wangu Ambele Mwalutondwa, George Mwashimaha na Gerald Hongoli walikiwa wakiita ugali maharage NDAMBALI NA NGUNDIMBA tukiwa sekondari huko maporini, Mwakaleli ku ilisu ipimba
hahahahahaha, yaani ni zero square , mie naona watanzania mnajua sana kupika, na mna vyakula vingi vya kupika tofauti na nchi zingineHuko DRC wao nadhani upande wa mapishi wana zero kabisa duniani
hahahahaha,wadudu au mboga? DRC nishakutana na kenge sokoni wanauzwa, chatu ,na watu wanakula fresh tu , bado hapo dilolo Angola nako unakula vitu huvijui ,ila Mungu anasaidiaNilienda sehemu nikapikiwa ndizi sijui na nyama gani ile na wadudu aisee mimi nilikuwa naona kinyaa wenywe wanakula na wana enjoy
loooh!!! huko me ningekufa na njaahahahahaha,wadudu au mboga? DRC nishakutana na kenge sokoni wanauzwa, chatu ,na watu wanakula fresh tu , bado hapo dilolo Angola nako unakula vitu huvijui ,ila Mungu anasaidia