binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Respectfully limetukuza, tena mi nimezaliwa na kukulia mtwara nazi ilikuwa shatashata enzi hizo sijui sa hivi. Enzi hizo tunakula ubwabwa wa usiku nje kwenye mkeka na mbalamwezi.Wali na maharagwe huwezi kuulewa kama unapikwa na mtu asiyejuwa mapishi.
Wali nazi harage nazi kwanini usielewe? Unaelewa ukiacha nazi wali unawekwa hiriki?
Ila i still don’t see the hype, ni haki yangu Matola.