TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Ndio maana mnakuwa masikini, mnalishwa na mavyakula ya makafara na maagano ya kuzimuKushiba kwanza ukiwa na njaa unawaza kula haijalishi chakula gani.... Unapokea tu!!!
Duh... maombi ni muhimu mkuu.Ndio maana mnakuwa masikini, mnalishwa na mavyakula ya makafara na maagano ya kuzimu
Ulaya wanatoa protein kwenye maharage wanatengeneza nyama.Unakula ugali na maharage, yaani huo mlo ni mlo mmoja tu wanga mtupu.
Ni kweli kwamba maharage yana protini au hamirojo, lakini hamirojo yake ni complex protein, ambayo hadi inameng,'enywa tayari inageuka kuwa wanga.
Ndugu zangu kwangu pakavu, nawashauri, bora kula ugali mchicha kuliko ugali mandondo.
Wasela wangu Ambele Mwalutondwa, George Mwashimaha na Gerald Hongoli walikiwa wakiita ugali maharage NDAMBALI NA NGUNDIMBA tukiwa sekondari huko maporini, Mwakaleli ku ilisu ipimba
Ni kweli inawezekana kutengeneza nyama kwa kutumia protini ya maharage.Ulaya wanatoa protein kwenye maharage wanatengeneza nyama.
Imani yako siyo sahihi, Kula ugali maharage huna tofauti na anayekula ugali nyama, tofauti ni ladha tuu.
Na sisi tunaokunywa supu ya maharagwe asubuhi na chapati mbili badala ya supu ya nyama unatuweka kundi gani?Unakula ugali na maharage, yaani huo mlo ni mlo mmoja tu wanga mtupu.
Ni kweli kwamba maharage yana protini au hamirojo, lakini hamirojo yake ni complex protein, ambayo hadi inameng,'enywa tayari inageuka kuwa wanga.
Ndugu zangu kwangu pakavu, nawashauri, bora kula ugali mchicha kuliko ugali mandondo.
Wasela wangu Ambele Mwalutondwa, George Mwashimaha na Gerald Hongoli walikiwa wakiita ugali maharage NDAMBALI NA NGUNDIMBA tukiwa sekondari huko maporini, Mwakaleli ku ilisu ipimba
Matajiri mna dharau sana nyie. Mwingine alisema ugali ni mchafu unapikwa na mti mweusiUnakula ugali na maharage, yaani huo mlo ni mlo mmoja tu wanga mtupu.
Ni kweli kwamba maharage yana protini au hamirojo, lakini hamirojo yake ni complex protein, ambayo hadi inameng,'enywa tayari inageuka kuwa wanga.
Ndugu zangu kwangu pakavu, nawashauri, bora kula ugali mchicha kuliko ugali mandondo.
Wasela wangu Ambele Mwalutondwa, George Mwashimaha na Gerald Hongoli walikiwa wakiita ugali maharage NDAMBALI NA NGUNDIMBA tukiwa sekondari huko maporini, Mwakaleli ku ilisu ipimba
Kuna watu wanadaharau! πpongezi ziwafikie wote wanaoweza kula ugali maharage plain
hahahahahaha, hapo ni sawa na Kibuku ( chibuku )pongezi ziwafikie wote wanaoweza kula ugali maharage plain
Umesahau kwamba humu JF kila mtu ni tajiri isipokuwa mzee mmoja tu Bujibuji Simba Nyamaume yeye huishi uhalisia.Kuna watu wanadaharau! π
We hujasoma shule za bweni?
Ugali na chumvi ya mawe inakamuliwa ndimu mbona tumeishi nao sana kipindi Tanzania inatoka vita vya Kagera ilikuwa siyo powa.Umesahau kwamba humu JF kila mtu ni tajiri isipokuwa mzee mmoja tu Bujibuji Simba Nyamaume yeye huishi uhalisia.
Nimekula Sana ugali bila mboga na wala sikudhurika, iweje ugali maharage kisiwe chakula?
Mimi nimekula ugali, na chumvi tu..Umesahau kwamba humu JF kila mtu ni tajiri isipokuwa mzee mmoja tu Bujibuji Simba Nyamaume yeye huishi uhalisia.
Nimekula Sana ugali bila mboga na wala sikudhurika, iweje ugali maharage kisiwe chakula?
Mkuu upo pasono sasaππNdio maana mnakuwa masikini, mnalishwa na mavyakula ya makafara na maagano ya kuzimu
Wali na maharagwe huwezi kuulewa kama unapikwa na mtu asiyejuwa mapishi.Nikikumbuka shule napata PTSD, Sifanyi huo ujinga tena maishani, Mi hata wali maharage sijawahi elewa the hype.
I have a brother nadhani mkewe anachokaga kupika mboga mbili mbili kila siku, maana yeye lazima ale maharage π