Kula ugali na maharage bila mboga nyingine ni sawa na kula ugali mtupu

pongezi ziwafikie wote wanaoweza kula ugali maharage plain
Ukila kama anasa havipandi, vinadunda.

Njaa ikikupiga kisawasawa, utaushambulia tena kwa kumega matonge makubwa makubwa.

Akili itapokukaa sawa na kuanza kuchambua, tayari ushashiba.
 
Kabisa mi kuhusu mboga huwa napata tabu saba aisee kuna vitu sili kabisa
hahahahahaha,wewe kama mimi ,mie mboga zangu za ajabu ajabu, ila napenda sana ugali na mboga kavu kavu, mfn samaki wa kukaanga,dagaa la kukaanga, nyama choma, mboga mboga, usijaribu kuweka mchuzi wa aina yoyote ile labda iiwe roast
 
hahahahahaha,wewe kama mimi ,mie mboga zangu za ajabu ajabu, ila napenda sana ugali na mboga kavu kavu, mfn samaki wa kukaanga,dagaa la kukaanga, nyama choma, mboga mboga, usijaribu kuweka mchuzi wa aina yoyote ile labda iiwe roast
mi kwanza sipendi kula hotel.
Mboga za majani ninazopenda kula ni kisamvu na msusa, tambi situmii viazi mviringo situmii.

Nyama napenda kuku hii imenifanya niwe mfugaji, samaki napenda kuchemsha zaidi bila viuongo wala takataka nyama natumia ile iliyokaushwa kwa moshi na moto huwa natoa huko kwetu mara nyingi.

Kiufupi vyakula vyenu vya town huwa vinanishinda mshamba mimi.
 
Maharage yana protein wewe mpumbavu.
 
Nilienda sehemu nikapikiwa ndizi sijui na nyama gani ile na wadudu aisee mimi nilikuwa naona kinyaa wenywe wanakula na wana enjoy
hahahahaha,wadudu au mboga? DRC nishakutana na kenge sokoni wanauzwa, chatu ,na watu wanakula fresh tu , bado hapo dilolo Angola nako unakula vitu huvijui ,ila Mungu anasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…